Simba vs URA National Stadium

Simba vs URA National Stadium

Afu mi nashangaa humu ndani tupo kwa ajili ya kupeana habari za ukweli msilete utani wa jadi. Kwenye habari muhimu tusitaniane kama wewe yanga au simba usilete utani wako hapa na wahuska wakuu likithibitika hilo waftiliwe mbali.
 
Huwa hafuati mkataba huyo, Uarabuni kaondoka akiwa na mkataba, Yanga kaondoka akiwa na mkataba sembuse wachovu Simba! Azam wakijipendekeza atapoketi chake kama kawaida. Namshauri awe anatembea na mavazi ya bullet proof.

Hahaha..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom