Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
updates wakuu...Okwi vipi,kaanza au
Huyu Okwi amekuwa ka mungu kadogo, kila mwaka lazima afunike, mwaka kesho ataibukua Azam.
updates wakuu...Okwi vipi,kaanza au
jamani mlioko uwanja wa taifa vp au bado hakuna jipya?
updates wakuu...Okwi vipi,kaanza au
Ah...The Maganificent kumbe tupo wote mpaka huku...saaaafi sanaaaa
Leo ni majanga tupu.
Huyu Okwi amekuwa ka mungu kadogo, kila mwaka lazima afunike, mwaka kesho ataibukua Azam.
ura wanapata gori.
Baada ya kushinda ile kesi, amesaini mkataba wa miaka miwili, sasa msimu ujao ataendaje Azam? Huyu ni wahapahapa.
Simba 0 : 1 URA
dakika ya ngap? Kiwango vp?simba 0 : 1 ura
Simba 0 : 1 URA
Simba 2 na URA 1 dakika ya 78
jambo afande?
Simba 2 na URA 1 dakika ya 78