Simba vs URA National Stadium

Simba vs URA National Stadium

Kwa muda mrefu timu ya URA huwa inaifunga simba kama simba wangeshinda bila shaka ingethbitika kuwa imekuwa bora zaidi lakin pia kwa7bu wamepata ushndi mwembamba.
 
Kama wangeshinda leo pangechimbika Mjini sasa ni kimya kikuu na majonzi mengi. Kesho watakipiga na Ndanda FC huko Mtwara, watapoza maumivu huko kwa vibonde wenzao.
Kumpiga teke Chura ni kumwongezea Safari.
 
Daaah! Mechi y kirafk Ligi bado lakini simba 2po vzur ndoo yetu msimu huu.
 
Ningekuwa nina dhamana katika sekta ya habari lazima ningetengeneza mpango wa kuhakikisha Waandishi wanaokuwepo kwenye sekta ni wale wenye hiyo taaluma na kuthibitisha ueledi wa hali ya juu katika hiyo kazi yao.......Mwandishi licha ya kutoa habari kwa picha zenye mwelekeo mmoja tu lkn still bado habari yake chini ya hizo picha zinakwenda kinyume na uhalisia,mtu amekazana "Kisiga akimlamba chenga nani sijui,Kisiga akipasua katikati ya msitu wa mabeki,Kiemba akimpiga kanzu nani sijui,Chanongo aki'overlap....Ivo akimpiga dariz mshambuliaji wa team pinzani baada ya kuzuia shambulio" etc,etc....sasa najiuliza ma'dariz,matobo na makanzu yote hayo mbona wamefungwa?
 
Daaah! Mechi y kirafk Ligi bado lakini simba 2po vzur ndoo yetu msimu huu.

Endapo Yanga tutashindwa kuibeba hiyo ndoo ni afadhali muichukue ninyi Mikia badala ya hao Azam, tuko pamoja Mkuu tusaidiane kuididimiza Azam.
 
Mlioko Manispaa ya Mtwara-Mikindani leteni updates za Ndanda FC v Simba SC.

ONYO: Msilete taarifa potofu kama jana. Shoka limewekwa kwenye mti usiozaa matunda... CC. Invisible (kwa hatua zako Mkuu).
 
Last edited by a moderator:
Huwa hafuati mkataba huyo, Uarabuni kaondoka akiwa na mkataba, Yanga kaondoka akiwa na mkataba sembuse wachovu Simba! Azam wakijipendekeza atapoketi chake kama kawaida. Namshauri awe anatembea na mavazi ya bullet proof.

dola 15 za Twite mshazilipa?
 
Ningekuwa nina dhamana katika sekta ya habari lazima ningetengeneza mpango wa kuhakikisha Waandishi wanaokuwepo kwenye sekta ni wale wenye hiyo taaluma na kuthibitisha ueledi wa hali ya juu katika hiyo kazi yao.......Mwandishi licha ya kutoa habari kwa picha zenye mwelekeo mmoja tu lkn still bado habari yake chini ya hizo picha zinakwenda kinyume na uhalisia,mtu amekazana "Kisiga akimlamba chenga nani sijui,Kisiga akipasua katikati ya msitu wa mabeki,Kiemba akimpiga kanzu nani sijui,Chanongo aki'overlap....Ivo akimpiga dariz mshambuliaji wa team pinzani baada ya kuzuia shambulio" etc,etc....sasa najiuliza ma'dariz,matobo na makanzu yote hayo mbona wamefungwa?
Uandishi wa namna hiyo unafanana sana na wa mtu mmoja anaitwa MAHAMOUD ZUBEIRY a.k.a KANJANJA.....eti hapa mess akiwapiga chenga mabek wa URA!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom