Simba vs Tiger

yule baharia anakamata mguu nyumbu wa kg 150,anamrudisha kwenye maji kwa kumrusha,nyumbu anasalimu amri.

ijekuwa jaguar ambaye akiwa kazipatia pesa anafika kg 70 tu
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mfano wako hau-relate kabisa na uhalisia

Inaonekana hujawahi ona hata ma bodybuilder wanaonyanyua heavy weight vilivyowazidi wao
 
Mimi ni mdau mkubwa sana wa maswala ya wanyama na ndege nimependa maelezo yako umeeleza kwa kujiamini sana.
 
We jidanganye na stori za mtaani eti simba dime hajui kuwinda, siku ukiingia kwenye 18 zake ndo utajuta
Simba dume hana uwezo mzuri wa kuwinda kutokana na kuwa na vichwa vikubwa hivyo kukosa mwendo mzuri. Ila kwa wana nguvu nyingi sana, bila madume haya ni ngumu kwa masimba jike kuua nyati, twiga au tembo. Pia ni vizuri kuweka record sawa kuwa Simba ndie mnyama anayeongoza kwa kuwa na mwili ambao sehemu kubwa ni misuli, ndio maana unaambiwa simba dume ana uwezo wa kusukuma tani moja kwa mguu mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa, watu wanacheza na mamba ndani ya maji.

Mamba huyuhuyu atolewe na tiger kwenye maji? Huu sasa ni utani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Jaguar anakula vile vimijusi vinavyofanana na mamba (Caiman), nadhan havina hata kilo mia moja, Jaguar akijichanganya kwa Nile crocodile siku hiyo hiyo anakutana na Israel. Nile crocodile anafikia hadi tani moja na akiwa na one of the strongest bites in the animal kingdom.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine wanyama wana mgawanyo wa kazi, kazi ya simba dume ni ulinzi na hili huwa analifanya vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata huyo caiman unaemuongelea sidhan kama ni rahisi kumuwinda kama anavyofanya jaguar. Nafikiri bado jaguar anastahili sifa yake.
 
Mbwa mwitu SI jamii ya paka. Yaani hawa undugu na Paka. Siyo Ukoo mmoja.


 
kwani mbwa mwitu ni jamii ya paka? au wewe unatumia kigezo gani kuwaweka katika jamii ya paka? miguu minne?
 
kwani mbwa mwitu ni jamii ya paka? au wewe unatumia kigezo gani kuwaweka katika jamii ya paka? miguu minne?
Mimi sijawaita mbwa mwitu kua ni jamii ya paka. Ukisoma vizuri post yangu utaona kua nilikua nauliza swali kutaka kueleweshwa na nashukuru kuna wadau wamenielewesha katika post zilizopita kuhusu baadhi ya wanyama wawindao kma hao mbwa mwitu kutokua kwenye kundi la paka
 
Wakati mwingine wanyama wana mgawanyo wa kazi, kazi ya simba dume ni ulinzi na hili huwa analifanya vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
na ni miongoni mwa sifa zilizomfanya kuitwa king of a jungle,

simba wana utaratibu wa ajabu kidogo tofauti na wanyama wengine.hasa hapo pa kutokula kilichokufa bila kuuwawa,kuingilia na kuzaa na ndugu,kuua watoto wasio wake ili aanzishe kizazi damu yake.

ila paka wengine hawafanyi hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata huyo caiman unaemuongelea sidhan kama ni rahisi kumuwinda kama anavyofanya jaguar. Nafikiri bado jaguar anastahili sifa yake.
caiman ni mamba mdogo tu,na anaowawinda jaguar hawafiki hata kg 50 asingeweza hata kuwaburuza.

sasa ukiangalia video zake,jaguar anakamata shingo halafu ananyanyua na kuondoka
. yaani akishiba vizuri huyo mdudu kitendo cha kumshika shingo huwa anageuka mzima mzima kama anakataa hivi hilo swala,fikiria ni kg 100 zinageuka kwa kasi ile,lazima jaguar agairi na kuamua kula mboga ya majani siku hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😅😅😅😅😅ila watu ... ale mboga za majani aisee🤣🤣🤣🤣🤣uzi ufungwe tu maana watu wanachanganya mambo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…