Simba dume hajui kuwinda na sio kwamba kwasababu hajui kuwinda basi hajui kujilinda pindi atapoona alama ya hatari mbele yakeWe jidanganye na stori za mtaani eti simba dime hajui kuwinda, siku ukiingia kwenye 18 zake ndo utajuta
nyie ndo kwenye essay tunasema umeenda op kila kitu hahahahKwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Asante Sana mkuu, hapo kwny kupambana mpaka tone la mwisho NAMKUBALI SANA SIMBA.Simba sio mkubwa kama Tiger
Kiasili Tiger wanapatikana Asia na Ulaya Mashariki ambayo ni Russia na Tiger wakubwa kbsa wanapatikana Siberia
Tofauti na wa india na kadhalika
Kwenye sifa za kuwinda
Simba ndio paka ambao wanawinda kwa ushirikiano tofauti na jamii nyingine ya paka
Kwenye kupiga simba Tiger wa umri mmoja
Kwanini simba atashinda na Tiger atashindwa
Simba anapigana kwa kutumia mguu mmoja wa mbele na kusimama kwa mitatu iliyobaki wakati Tiger yeye anapigana kwa miwili kwa wakati mmoja na miwili ya nyuma anasimamia
Simba kwenye mapigano anamoyo wakupigana mpaka kifo atakama anajua anashindwa lakini Tiger hanauwezo huo wakupigana kwa muda mrefu
Simba dume ana mane nywele za pale shingoni ile nisilaha tosha kwake inamkinga zidi ya Adui wakati Tiger hana hizo
Simba kwa kimkakati anauwezo mkubwa sana wakumpiga Tiger kuliko mikakati ya Tiger kwakuwa Tiger sio mvumilivu kama simba
Ukitaka kujua Roho ngumu ya simba ..Dume moja la simba lipo tayari kupigana na madume manne akijua kbsa hanauwezo ila analinda Heshima yake mpaka umauti unamkuta ,kwa hiyo simba amepewa sifa za ziada ambazo nitofauti na paka wengine
Pia tambua simba anaona usiku mara nane ya binamu kwa usiku
Tambua kuwa simba Dume anapounguruma sauti yake inasikika mile 8
Tambua pia simba nipaka wanaoishi kaya ambapo wapo mashangazi mabibi mama na watoto mabinamu na Baba zao na ni mwiko mwanaume kumpanda Mama au Dada yake tofauti na paka wengine
Pia tambua simba ndio paka pekee ambao wakiamua leo wale mnyama wanayemtaka wanafanya hivyo mfano tembo twiga nk
Simba jike watoto wao wanaruhusiwa kunyonya kwa mama yoyote wakaya yao na mtoto analindwa na kina mama wote atakama sio wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa nyuma yuko tiger ndo maana wametoka speed hiyoKuna watu naona wanamfananisha Simba na mbwa mwitu, huyu ndo Simba sasa.View attachment 1433798View attachment 1433799
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwa mwitu sio paka mkuu, we mwenyewe ushasema "mbwa" sa anakuaje paka, mengine Google tu.Nimependa maelezo haya. Yamechambua vizuri nguvu na udhaifu wa kila mmoja katika aina hizi za paka. Ni kweli Simba hana mzaha linapokuja suala la kupambana. Huwezi ukamtoa nduki kama unavyoweza kufanya kwa Tiger and the like. Utamuua akijilinda huku akitafuta uwezekano wa kukumaliza na wewe
Ila nina swali moja mkuu. Umesema Simba ndio mnyama wa aina ya paka anaewinda kwa pamoja. Je mbwa mwitu hawako kwenye kundi hili maana wao haswaa ndio wawindaji kwa group
hata huyu huyu tu inatosha kuwekea mfanoHuyu ndie Alligator ambaye wana JF wanasema Tiger anaweza akamchukua kutoka majini na kusepa nae.View attachment 1433795View attachment 1433796View attachment 1433797
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamba ni tishio kwa wavuvi na wanyama wazembe wazembe kama simbaEti anawinda mamba mtoni kabisa, vile si Cayman sijui kitu gani
We unamjua Mamba au unamsikia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukisema Simba au chui ndio umesema paka? Anyways nashukuru kwa kunielimisha mkuuMbwa mwitu sio paka mkuu, we mwenyewe ushasema "mbwa" sa anakuaje paka, mengine Google tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sema wewe, labda kama kuna mijusi inaishi mtoni.Eti anawinda mamba mtoni kabisa, vile si Cayman sijui kitu gani
We unamjua Mamba au unamsikia!
Sent using Jamii Forums mobile app
yule baharia anakamata mguu nyumbu wa kg 150,anamrudisha kwenye maji kwa kumrusha,nyumbu anasalimu amri.
kiukweli simba ni overated sana.ndio maana battle ya peke yake huwa anaihamishia kwa wanyama wadhaifu kama swala,paa,au hata nyani.Simba hamna kitu pale, hata mmasai akipewa fimbo anacheza naye
Huyo tiger hana ishu yoyote ni kubwa jinga, jitu zembe kama nini, japo lina mwili mkubwa!Mamba ni tishio kwa wavuvi na wanyama wazembe wazembe kama simba
Unapozungumzia tiger ni mnyama mwingine kabisa mwenye special skills katika mission zake
Mkuu,hapa umechanganya madesa, umezungumzia tiger,leopard na jaguar.Kwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Tiger utamfananisha na huyo simba anayelelewa na demu wake ambaye ni mzee wa kula kulala?Huyo tiger hana ishu yoyote ni kubwa jinga, jitu zembe kama nini, japo lina mwili mkubwa!
Huyo tiger mlete mto ruaha asozege pua yake,wala asiingie majini ajilengeshe hata pembeni ya mto aone shughuli yake!..atachapwa mkia mmoja, kwisha habari yake huyo tiger wako unayemsifia
Sent using Jamii Forums mobile app