blaza mamba ni habari nyingine,kwa haraka haraka kuna aina za mamba kama 3 na zaidi hiv,wanapishana umbo mpaka tabia.Upo sawa mpangilio wa wanyama wenye nguvu na wawindaji hodar 1. Ni jagwa. 2 African lion 3. Tiger. 4ndo utakuta chui na wengine wanafata. Pia kwa wanaosema jagwa hawind mamba bas sio wafuatiliaji wa wanyama. Most jagwa anapendelea kukaa kwenye misitu minee kama Amazon hivo chakula chao kikuu ni mamba na viumbe wengine wanaopatikana misituni. Simba anapewa heshima kwasababu tu anavumilia sana wataalamu wanasema simba mmoja anaweza kuwinda prey aliyemzid mara mbili tofaut na hapo itabid wawe kund kubwa ndo wapate chakula. Ila jagwa anasifika kwa kuwinda mwenyewe na huwa akimbiz yy anateka anakamata na kuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Badamu bamemwagika. Lilikua ni pambano la kiume hasa. Hawa viumbe wananguvu almost sawa kila mmoja akiwa na advantages na disadvantages zake. Ila tiger ni mwepesi sio kwa kilo bali kunyumbulika(flexibility) kuliko simba
OkChui Ni leopard...tiger Ni tiger
Aisee ni wakubwa utasema dume la ng'ombeSimba cha mtoto kwa tiger kijana, tena wale wa Siberian ni mapande haswaa...wanafika hadi kg 320 kwa madume
View attachment 1433587View attachment 1433588View attachment 1433589View attachment 1433590
This seems to me as fair and reasonable assessment of the two killer catsIs Tiger stronger than lion?
The conservation charity Save China's Tigers stated "Recent research indicates that the tiger is indeedstronger than the lion in terms of physical strength. ... A tiger is generally physically larger than a lion. Most experts would favor a Siberian and Bengal tiger over an African lion."
Can I tiger kill a lion?
Answer is yes. As much as a lion can kill a tiger. If we are to compare two full grown males- Both cats are heavily armed. They are comparable in size.
Can a tiger kill a gorilla?
Yet they still kill them. Tigers are larger, faster, stronger, and more likely to attack an adult gorilla than leopards. In short, the gorilla is dead. Tiger has a curbstomp victory for a pleasant ape tartare reward. "Sep 14, 2009
Can a gorilla kill a lion?
They are strong, yes. They have a higher bite force. But there is nowhere to use that biteforce on a lion to kill it. ... It is unlikely a lion would kill a gorilla with their bite, though still possible, silverback gorilla's necks are well protected and there isn't much a neck to speak of.
Can a tiger kill a Jaguar?
A tiger has a slightly bigger brain than most other big cats too. ... But to cut a long story very short, a jaguaris potentially more agile and has a stronger bite force but with other characteristics related to bulk, a tiger is more superior. A tiger has a slightly bigger brain than most other big cats too.Sep 21, 2018
Aisee ni wakubwa utasema dume la ngombe
Bila shakaHawa viumbe ni mapande kamanda...wakiletwa serengeti hakuna mnyama mkali ataebakia...
[/QUOTE]Mbwa mwitu si jamii ya cat, wapo wanyama ambao wapo kwenye kundi moja wansitwa big cat mbwa mwitu, na fisi hawapo.ushasema mbwa ,yeye kaongelea aina ya paka sio ya mbwa
Ila nina swali moja mkuu. Umesema Simba ndio mnyama wa aina ya paka anaewinda kwa pamoja. Je mbwa mwitu hawako kwenye kundi hili maana wao haswaa ndio wawindaji kwa group
Nilikuwa nasoma tu, yaani umtoe mamba majini?Sidhani kama uko sahihi huyo unaemsema wewe anaitwa jaguar [emoji249] anapatikana marekani ya kusini huyo unaemuita mamba ni alligator [emoji246] ... tiger kwa asili anapatikana Asia ... na kwa taarifa tu hakuna mnyama anaeweza kufanya huo upumbavu wa kuwinda mamba mtoni ( the strongest bite on earth [emoji288] ) Hakuna mnyama anaeweza kuwinda hawa jamaa nile crocodile au salt crocodile labda alligator they’re more like lizards than mazafaka crocs
Bora umesema, sijui kama watu wanamfahamu simba.Tiger ana uwezo wa kupigana kwa kusimamia miguu ya nyuma wakati anatoa kichapo kwa adui.
Ni mnyama ambaye ni mwepesi mno na anashambulia kwa kasi kuliko simba!
Ana uwezo wa kujitupa na kujigeuza upande wowote wakati wa mapigano kwa kasi na kwa nguvu zote.
Bahati mbaya anachoka haraka tofauti na simba!
Simba anaweza asiwe na ufanisi wa mbinu za kupigana kama tiger lakini ana ujasiri na hachoki. Anapigana mpaka tone la mwisho la damu hata apigwe vipi hakimbii.
Tigers wana nguvu na ufanisi lakini ni wazembe. Anashambulia kwa kasi lakini akichoka anakimbia pambano!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam, wewe umemtendea haki simba.Simba sio mkubwa kama Tiger
Kiasili Tiger wanapatikana Asia na Ulaya Mashariki ambayo ni Russia na Tiger wakubwa kbsa wanapatikana Siberia
Tofauti na wa india na kadhalika
Kwenye sifa za kuwinda
Simba ndio paka ambao wanawinda kwa ushirikiano tofauti na jamii nyingine ya paka
Kwenye kupiga simba Tiger wa umri mmoja
Kwanini simba atashinda na Tiger atashindwa
Simba anapigana kwa kutumia mguu mmoja wa mbele na kusimama kwa mitatu iliyobaki wakati Tiger yeye anapigana kwa miwili kwa wakati mmoja na miwili ya nyuma anasimamia
Simba kwenye mapigano anamoyo wakupigana mpaka kifo atakama anajua anashindwa lakini Tiger hanauwezo huo wakupigana kwa muda mrefu
Simba dume ana mane nywele za pale shingoni ile nisilaha tosha kwake inamkinga zidi ya Adui wakati Tiger hana hizo
Simba kwa kimkakati anauwezo mkubwa sana wakumpiga Tiger kuliko mikakati ya Tiger kwakuwa Tiger sio mvumilivu kama simba
Ukitaka kujua Roho ngumu ya simba ..Dume moja la simba lipo tayari kupigana na madume manne akijua kbsa hanauwezo ila analinda Heshima yake mpaka umauti unamkuta ,kwa hiyo simba amepewa sifa za ziada ambazo nitofauti na paka wengine
Pia tambua simba anaona usiku mara nane ya binamu kwa usiku
Tambua kuwa simba Dume anapounguruma sauti yake inasikika mile 8
Tambua pia simba nipaka wanaoishi kaya ambapo wapo mashangazi mabibi mama na watoto mabinamu na Baba zao na ni mwiko mwanaume kumpanda Mama au Dada yake tofauti na paka wengine
Pia tambua simba ndio paka pekee ambao wakiamua leo wale mnyama wanayemtaka wanafanya hivyo mfano tembo twiga nk
Simba jike watoto wao wanaruhusiwa kunyonya kwa mama yoyote wakaya yao na mtoto analindwa na kina mama wote atakama sio wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa serious mkuuKabla ya kuweka mjadala ungetoa kwanza elimu kuhusu utofauti kati ya Tiger yule anayepatikana bara la Asia na Nchi ya Urusi na hawa chui wetu ambao wao wanaitwa Leopards na wanapatikana huku Africa na baadhi ya sehemu nyingine.
Maana naamini wengi kibongobongo wanashindwa kujua tofauti zao. Tukiacha hayo unachopaswa kujua ni kuwa mafanikio ya Simba kwa asilimia kubwa yanatokana na ushirikiano, katika familia ya wanyama aina ya paka (changanya paka wote hapa) simba ndiye anayeongoza kwa ushirikiano na wenzake katika mawindo wakati Tiger yeye anapambana mwenyewe, na ana size kubwa, uzito wa kutosha kumzidi simba.
Nikiangalia hizo sababu naona kama Simba atachapwa kipigo cha mbwa mwizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa anamuiga "font fedi"Umevuruga tenses ile mbaya. Achana na hiyo lugha mkuu tumia kiswahili tu mbona rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna mjadala mahali fulani nimekutana nao kuhusu mnyama SIMBA na TIGER (Chui milia).
Mkuu hivi hawa watu wanamjua Alligators kweli?Sio sawa mkuu, huyo sio Alligator bali anaitwa Caiman crocodile, hawa ni aina ya mamba waliopo America ya kusini ni wadogo kuliko Alligators au Nile crocodiles na huliwa sana na Jaguar, Jaguar ni mkubwa kidogo kuliko chui lakini anafanana sana na chui wa huku Africa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu