Simba vs setif live hapa

Kwa mwenendo huu wa mechi nina wasiwasi Simba wanaweza kupigwa KIKUNDI cha magoli hapa. Beki haitimizi majukumu kabisa...
 
Ni Simba hawa hawa waliompiga Es Setif 2 - 0 juzi juzi au Rage amepeleka Paka badala ya Simba?
 
sasa uhai umerudi. walikosea kuanza kulinda mapema mno
 
Piga maviongozi ya ccm yapo humo ndani yacha yapigwe kumi
 
mtu uko kwenye mechi ngumu unafanya utumbounapata red

Huyo Nyoso kwa rafu ya kibangi alofanya (bila kuwa na mpira), akirudi tu afungiwe ili iwe somo kwa wachezaji wetu wenye mambo ya kibangi bangi.
 
Tmk! 3-0...oooh! Kuna haja gani kumgharamia mchezaji aina ya Nyoso then akafanye upuzi huo.?!...mi chama langu Newcastle wameshinda 2-0 dhidi ya swansea.
 
wachezaji wa simba bado wanashida sana , sijui tatizo nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…