Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

Status
Not open for further replies.
Mkuu hata usituseme sana, tunaanza nae Alshababu
 
Simba kama Gari la Mkaa trip shamba trip garage ahhhhhhhhhh
 
leo mpaka @balatanda ananitukana..

Hapana mkuu....Sijakutukana...Ni matokeo tu na jina la wapinzani wenu ndo yanafanya uone umetukanwa...

Kwani si ni kweli mmepigwa bao 4 na LOBOLO mtani?
 
mzee Libolo ametisha! yani Ndege walopanda ...ya Libolo, hoteli walolala ... ya Libolo, Uwanja walochezea ...wa Libolo.
Jamaa limemgharamia malkia KILA KITU, halafu eti unashangaa matokeo? Shangaa gharama kwanza.
 
Huku shabiki wa simba huku aseno halafu huku tff wamekat jina lako huna uadilifu....yaani ni balaaaaa
 
Hapana mkuu....Sijakutukana...Ni matokeo tu na jina la wapinzani wenu ndo yanafanya uone umetukanwa...

Kwani si ni kweli mmepigwa bao 4 na LOBOLO mtani?

sawa kaka matusi yote yetu safari hii..
 
# Team MP W D L F A D P Last 5 matches H2H
1 1º de Agosto 1 1 0 0 3 0 +3 3 W
2 Kabuscorp 1 1 0 0 3 1 +2 3 W
3 Benfica Luanda 1 1 0 0 2 0 +2 3 W
4 Interclube 1 1 0 0 1 0 +1 3 W
5 ASA 1 0 1 0 2 2 +0 1 D
6 Sagrada Esperança 1 0 1 0 2 2 +0 1 D
7 1º de Maio 0 0 0 0 0 0 +0 0
8 Onze Bravos 0 0 0 0 0 0 +0 0
9 Petro de Luanda 0 0 0 0 0 0 +0 0
10 Porcelana 0 0 0 0 0 0 +0 0
11 Progresso 0 0 0 0 0 0 +0 0
12 Santos 0 0 0 0 0 0 +0 0
13 Recreativo do … 1 0 0 1 0 1 -1 0 L
14 Desportivo Huíla 1 0 0 1 1 3 -2 0 L
15 Atlético do Namibe 1 0 0 1 0 2 -2 0 L
16 Recreativo da … 1 0 0 1 0 3 -3 0 L

Angalia na hii...

# Team MP W D L F A D P Last 5 matches H2H
1 Young Africans 18 13 3 2 35 12 +23 42 WWWDW
2 Azam 18 11 3 4 31 15 +16 36 LWWWW
3 Simba 18 8 7 3 26 15 +11 31 LWDDW
4 Coastal Union 19 8 7 4 21 16 +5 31 DWLDD
5 Mtibwa Sugar 19 7 7 5 21 18 +3 28 DWDLD
6 Kagera Sugar 19 7 7 5 19 17 +2 28 LDWWL
7 Ruvu Shooting 17 7 5 5 20 16 +4 26 DDDWW
8 JKT Mgambo 19 7 3 9 14 18 -4 24 LWWLD
9 JKT Oljoro FC 18 5 6 7 19 23 -4 21 LLDWW
10 Tanzania Prisons 19 4 8 7 11 16 -5 20 DDLWD
11 Ruvu Stars 18 5 4 9 16 28 -12 19 WLLDL
12 Polisi Morogoro 18 3 6 9 8 17 -9 15 WDDWW
13 Toto Africans 19 2 8 9 15 27 -12 14 LLDDL
14 African Lyon 19 3 4 12 13 31 -18 13 DWLLL
 
Hii timu kwa mwenendo huu sio siri itatusababishia matatizo, hapo hatujakutana na Yeboyebo na Lambalamba, bado Coastal union, bado Kagera Sugar na watoto wa Yeboyebo wanaotubahatishaga, kwa kweli mwaka huu wetu, pole zetu wadau wote wa Simba wa JF Crashwise, Saint Ivuga, Bemg, Cynic, Zanta na wengine wote ambao sijaweza kuwataja.
 
Hivi Rage na Kaburu wansubiri kutolewa kwa bakora?
 
wasiruhusu goli lingine tu lakini kuwatoa hao jamaa ni maajabu..beki ya simba tangu aondoke kelvin haijatulia kabisa..

Mpaka dakika hii hupaswi kulaumiwa, kichapo ulichochukua najua nnya inapwita. Utamkumbuka hadi Iddi Pazi, nini Kelvin, chezea Libolo we
 
The best newspaper heading 2morow: Recreativo do Libolo lainyeshea mvua ya magoli Simba.
 

Adhabu ya kubishana na Mwana Mtoka Pabaya ndio hiyo, mmekung'utwa 4-0. Mimi nazungumzia Makombe wewe unaleta stori za mabonanza ya bia za Tusker, huna adabu wewe. Kombe zinachezaga timu 4 tu?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…