CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Mfa maji...................................sijui unatumia kigezo gani au ulitaka Simba ishinde mechi zote. Hata wakati anachukua ubingwa mwaka jana kuna mechi alitoa droo na kupigwa vilevile. Kwa kifupi ujuavyo sivyo, wenye timu tunajua. Ni changamoto tu za ligi na zimetoka kwenye timu nzuri
sijui unatumia kigezo gani au ulitaka Simba ishinde mechi zote. Hata wakati anachukua ubingwa mwaka jana kuna mechi alitoa droo na kupigwa vilevile. Kwa kifupi ujuavyo sivyo, wenye timu tunajua. Ni changamoto tu za ligi na zimetoka kwenye timu nzuri
Mfa maji...................................
chezea makosa ya kujifanya unajua...
Kigezo cha mechi tatu za mwisho ijayo mnapoteana
Ha ha ha ha ha!mkuu naona unang'ata na kupuliza lolMatokeo ya leo hasa ya Taifa na Sokoine ni mazuri sana. Naziombea timu hizo mbili ziende kwa mwendo huu hata kwa mechi zao mbili zijazo halafu wataona wenyewe upepo utakavyobadilika.
Bravo Simba, Bravo Azam. God bless you all for these impressive results.
Mfa maji...................................
Umepata 100/100.Huishia kutapa tapa
Kama simba kafa kwa droo, Yanga atakuwa ameoza kabisa maana kashakula vichapo viwili na droo moja
Shida ya hii timu ya wahindi ni makelele. Nyie mechi karibu zote mmecheza hapa hapa Dar, nje mmetoka mkaambulia point 1. Sasa mna mdomo kama wanawake wa kiswahili wakati mpira wenyewe hamjui. Tulieni sasa, taratibu tunakuja nyuma yenu. Leo tena kapoint kamoja
gemu imeisha hawa wadudu hawana ubavu wa kuzirudisha goli mbili kwa mnyama ..labda tutoe timu libaki goli wazi
Wakola waitu Kagera,umgambilei Simba 2-2 infront of his Wife, we can all imagine game ingekuwa Kaitaba mambo yangekuwaje....mimi nasemaje huu ni mwendelezo wa ile trela iliyoanza Tanga,picha kamili litaanzia pale CCM Kirumba Mwanza na kuendelea pale Sokoine Mbeya
Could not have put it better.
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
wahanga wanafarijiana
Kama simba kafa kwa droo, Yanga atakuwa ameoza kabisa maana kashakula vichapo viwili na droo moja
Mkuu, tulia. Maumivu ya kichwa huanza pole pole.