simba vs kagera live updates

washabiki wa yanga hawapo kabisa uwanjani,nikihesabu jukwaa lao wapo kama 20 tu
 
Hawa Kagera ndio tukubali wanacheza mpira sifa zao tuwape ila duh Tuwapelekee magodoro tu ya kulala chini wamezidi sasa.
 
Hee kumbe mpira unadunda
umesahau mechi ya jana german alikuwa anaongoza 4-0 dhidi ya sweden lakini hadi refarii ana maliza mpira german 4 sweden 4!!vivyo hivyo kwa spain na france!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…