kutokana na kasi ya mpira ilivyokua; kwa mtu anayeshangaashangaa si rahisi kuona, ila ukweli ni kwamba mpira umepigwa na Ngasa ukagonga nyavu za ndani na kurudi uwanjani-huo ndo ukweli wa mambo''is clear goal''.
Kuadadadadadeki zile pasi zinaitwa Triangle au Tiki Taka walizocheza simba Okwi kapiga shuti pale kipa katumia gloves zake kutoa kigozi kile nje na ni kona.