Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,685 May 9, 2025 #21 Kila la kheri kwa team Tanzania... Cc: Mahondaw
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,347 Reaction score 13,376 May 9, 2025 #22 Cha msingi utoe ahadi ufanywe nini kama utabiri wako wa kichawi ukienda ndivyo sivyo,la sivyo tukuchukulie ni walewaleee HEWA kama kina Labani og ,kubwa la wachawi kwa Simba
Cha msingi utoe ahadi ufanywe nini kama utabiri wako wa kichawi ukienda ndivyo sivyo,la sivyo tukuchukulie ni walewaleee HEWA kama kina Labani og ,kubwa la wachawi kwa Simba
Tajiri Tanzanite JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 2,966 Reaction score 5,559 May 9, 2025 #23 Itashindwa kwa jina la Yesu kristo na utabiri wako wa giza
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 12,280 Reaction score 33,996 May 10, 2025 #24 mwanamabadiliko said: halaf tunakuja kuwamaliza tarehe 15 june 25, kisha zinaanza kelele za mangungu atoke, kuuliza bilioni 20 mo aliweka benki gani Click to expand... ππππ
mwanamabadiliko said: halaf tunakuja kuwamaliza tarehe 15 june 25, kisha zinaanza kelele za mangungu atoke, kuuliza bilioni 20 mo aliweka benki gani Click to expand... ππππ
05CUBA JF-Expert Member Joined Apr 12, 2025 Posts 1,106 Reaction score 1,644 May 17, 2025 #25 Mambo hayo. .... Ngoja Nipige goti kuiombea team yang kwanza ... .. Naimani tunamfunga yule barcane 2 kule kwao. Af akija Huku ni kimoja tu . Then ubingwa wetu.
Mambo hayo. .... Ngoja Nipige goti kuiombea team yang kwanza ... .. Naimani tunamfunga yule barcane 2 kule kwao. Af akija Huku ni kimoja tu . Then ubingwa wetu.