Simba v/s Azam ngao ya hisani

baada ya kutokuwa hewani sasa tigo wanawapa watu fidia kutokana na uzembe na ujinga wao.. kwa hiyo usishangae kuona hiyo maneno Sosi ::: Tigo fanpage Facebook :::
 
lini tutaacha kuingiza soka ktk siasa.
 
Simba wameshatupia bao la pili. Hivyo mpaka sasa Simba 2 na Azam 2. Timu ya Simba inaonekana kutulia sasa katika kipindi hiki cha pili, na naona wamebadili mfumo na kucheza 4 4 2, tofauti na kipindi cha kwanza walipocheza 4 3 3.
 
Azam vp wamepewa nini vyumbani
 
Dakika ya ngapi?
Simba wameshatupia bao la pili. Hivyo mpaka sasa Simba 2 na Azam 2. Timu ya Simba inaonekana kutulia sasa katika kipindi hiki cha pili, na naona wamebadili mfumo na kucheza 4 4 2, tofauti na kipindi cha kwanza walipocheza 4 3 3.
 
mboni wanatakuleta mambo ya urafiki cup hawa azam bwana..
 
jamani huyo mnyama keshaichomoa hiyo ice cream aliyokalia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…