lunguzamnazi
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 133
- 160
Ukweli ni kuwa Berkane ni Bora sana kwenye ile mechi simba inatakiwa ifanye usajili mzuri wa kueleweka kama unataka kufika mbali.Nadhan alitaka kushikilia bomba kipindi cha kwanza angalau iwe bila bila then kipindi cha pili aje na mfumo wa back 3 kama suprise angeanza na huo mfumo mapema huenda angekuwa amewahi kucheza karata yake ya siri ,ila kama kocha unapanga lako ila hauwezi ku control kinachotokea uwanjani
Binafsi sina deni na Fadlu.