Hongera sana Juma Kaseja

Hongera sana Juma Kaseja

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,733
Nafurahishwa mno na kitendo cha kocha Juma Kaseja katika fani yake hii ya ukocha.
Hatua unazopitia usikate tamaa kwani sasa ni kocha mkuu wa timu ya Kagera ambayo uliteremka nayo daraja na kupanda nayo.
Nakuomba, usije kukubali kuwa kocha msaidizi wa timu yoyote hasa Simba, hii itakuzuia kutengeneza CV yako ya maendeleo.
 
Huyo Juma Kaseja yupo humu?

Kwa nini usingemfuata IG moja kwa moja kumpa huu ushauri wako?
 
Nafurahishwa mno na kitendo cha kocha Juma Kaseja katika fani yake hii ya ukocha.
Hatua unazopitia usikate tamaa kwani sasa ni kocha mkuu wa timu ya Kagera ambayo uliteremka nayo daraja na kupanda nayo.
Nakuomba, usije kukubali kuwa kocha msaidizi wa timu yoyote hasa Simba, hii itakuzuia kutengeneza CV yako ya maendeleo.
Maslahi ndio yanawafanya wakubali kuwa makocha wasaidizi huwezi kuwazuia.
 
Back
Top Bottom