Wewe unaandika kitu gani bwana hapa, soka la bongo liko mbele kiasi kikubwa sana. Jaribu kuangalia timu zote zinavyofanya usajili kuwa sio wa soka la ridhaa tena bali ni soka la kulipwa. Wewe unaelewaje soka la kulipwa? Mpaka liwe kama la Premier-England, Primera La Liga na kwingineko? Kwa level ya kwetu this is typical proffessional football.msitumie vichwa kubebea masikio.
Hiyo simba inayoongoza kwa ubora iko ktk soka la ridhaa na si la kulipwa...so viwango vyake ni sawa na kariakoo lindi, mji mpwapwa na uharo kama huo.
Wewe unaandika kitu gani bwana hapa, soka la bongo liko mbele kiasi kikubwa sana. Jaribu kuangalia timu zote zinavyofanya usajili kuwa sio wa soka la ridhaa tena bali ni soka la kulipwa. Wewe unaelewaje soka la kulipwa? Mpaka liwe kama la Premier-England, Primera La Liga na kwingineko? Kwa level ya kwetu this is typical proffessional football.
Mimi nakumbuka miaka tangu late 70s. Over the years nawakumbuka wachezaji kama Omar Mahadhi, Daudi Salum (Bruce Lee), Mohamed Kajole, Aloo Mwitu, Mohamed Bakari Tall, Aluu Ally, Willy Mwaijibe, Hussein Ngulungu, Abdallah Kibadeni,Athumani Mambosasa, Iddi Pazi, Thuweni Ally, Rahim Lumelezi, George Kulagwa, Jumanne Masimenti, George Masatu, Hamisi Gaga, James Kisaka.Nicodemus Njohole.
Kwa Klabu ya Simba naamini hicho ndicho kilikuwa kikosi kikali zaidi kilichowahi kutokea. Isipokuwa HUSSEIN NGULUNGU hakuwahi kuchezea Simba. HAMIS GAGA naye alikuja baadaye zaidi. Hao wengine walikuwa wanatisha! Namkumbuka WILLY MWAIJIBE 'The Flying Winger' aliwatesa sana Yanga Kandambili tulipowashona 6-0 mwaka 1977.
Simba ya sasa pia chini ya Kocha Patrick Phiri nayo inatisha. Kinachofurahisha ni kwamba ina vijana wenye umri mdogo wanaoweza kucheza kabumbu kwa muda mrefu. Nawafagilia zaidi MOHAMED SIMBA BANKA, RAMADHANI CHOMBO 'REDONDO', EMMANUEL OKWI, JOSEPH OWINO, JUMA NYOSO, HARUNA MOSHI 'BOBAN', MUSSA HASSAN 'MGOSI', HILLARY ECHESSA, Kipa JUMA KASEJA na kijana mdogo sana SALUM KANONI...
Kikosi cha Simba cha sasa hivi kinanikumbusha timu ya kipindi cha nyuma cha Wekundu wa Msimbazi wakati ndio mpira unapigwa kihuakika. Ongeza wengine tujikumbushe soka lilivyokuwa tamu. Hata watani Yanga mnaruhusiwa kuweka Maveterani wenu hapa.
Mohamed Mwameja
Kasongo Athumani
Alphonce Modest
Deo Mkuki
George Masatu
Hussein Masha
Lenny Ramadhani
Edward Chumila
Malota Soma
Dua Said
Damian Kimti
Nteze John
Thomas Kipese
George Lucas
Na wengine wengi
kosa la kuchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ni la misimu mitatu iliyopita hakukuwa na kumbukumbu TFF sahihi kwani refa alionyecha kadi mbele ya wachezaji 4 na akiwepo mgosi na kosa mgosi hakulifanya lakini kwa makosa ya kibinada/hata uraya hutikea akandikwa mgosi ndiyo kapewa kadi nyekundu wakati meneja wa simba akandika jina sahihi la aliye fanya kosa na kipindi kile TFF walikuwa wana toa Taarifa mfano simba hata mtumia mchezajia Hasani Mgosi kwasababu anakadi 3 za njano na walifanya hivyo kwa timu 2 kabla hawaja tuchuni ilipofika game la simba na Kagera..Ndo nakwambia soka la hapa nchini ni uharo.
Coz hao simba unaowasifia si ndo wale walimchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano?
Sasa je klabu gani ya ulaya inaweza kufanya utumbo huo?
Soka la TZ si ndo hili ambalo kuna timu zinakata rufaa na soka linarudiwa?
Soka la bongo si hili ambalo wachezaji wake hawalipwi mishahara na wanabakia wanapitapita mitaani wanaomba omba?
Usikurupuke
..Mkuu Invisible any comments??? Najua wewe mwenzangu habari za mnyamna hizi hapa unasemaje??Na hii nimeikuta kule mtaa wa pili kwa MICHUZI,
simba sc yaongoza kwa ubora duniani?
Wewe unaandika kitu gani bwana hapa, soka la bongo liko mbele kiasi kikubwa sana. Jaribu kuangalia timu zote zinavyofanya usajili kuwa sio wa soka la ridhaa tena bali ni soka la kulipwa. Wewe unaelewaje soka la kulipwa? Mpaka liwe kama la Premier-England, Primera La Liga na kwingineko? Kwa level ya kwetu this is typical proffessional football.
Daa,umenitonesha donda lililokuwa likipona taratibu,nikikumbuka hii mechi siwezi sahau rushwa kamwe,hujuma zilizofanywa na Mwameja na wenzake wakiongozwa na Azim Dewji ni za kulaaniwa sana,Dewji aliahidi KIA,lakini alipoona kaahidi kitu kilicho juu ya uwezo wake akaona awape baadhi ya wachezaji hela iliwaachie ule mchezo,mmoja kati ya walionufaika na mpango huo ni Mwameja!!Mnakumbuka kipindi Simba ilitaka kugeuzwa kuwa Taifa Stars? Kipindi inafadhiliwa na Azim Dewji. Ila ikachezea kichapo kwa timu ya Ivory Coast, Stella, wakati wa fainali za kombe la CAF.
Kumbe ilikuwa hivi mkuuDaa,umenitonesha donda lililokuwa likipona taratibu,nikikumbuka hii mechi siwezi sahau rushwa kamwe,hujuma zilizofanywa na Mwameja na wenzake wakiongozwa na Azim Dewji ni za kulaaniwa sana,Dewji aliahidi KIA,lakini alipoona kaahidi kitu kilicho juu ya uwezo wake akaona awape baadhi ya wachezaji hela iliwaachie ule mchezo,mmoja kati ya walionufaika na mpango huo ni Mwameja!!
Tumo mkubwa Kwa Afrika waala husitie shaka ndugu yangu! Zichukue zile za Ulaya then ziapply kwa Afrika basi utaona na ya kwetu inaingia kabisa hata kama sio 100%Let's go step by step; what are the defining features of a professional league? Ukizitaja hizo tutaangalia kama nasie tumo au kalagabaho!!!!!
Kwa Afrika SIMBA ni zaidi ya AC Milan GCwadau naomba mtu yeyote mwenye kumbukumbu ya kikosi cha Stella abidjan anitajie nami nitampa nusu ya utajiri wangu.
Manake simba sasa wanajifananisha na AC Milan