Simba SSC ya kitambo hicho

Kikosi cha Simba cha sasa hivi kinanikumbusha timu ya kipindi cha nyuma cha Wekundu wa Msimbazi wakati ndio mpira unapigwa kihuakika. Ongeza wengine tujikumbushe soka lilivyokuwa tamu. Hata watani Yanga mnaruhusiwa kuweka Maveterani wenu hapa.

Mohamed Mwameja
Kasongo Athumani
Alphonce Modest
Deo Mkuki
George Masatu
Hussein Masha
Lenny Ramadhani
Edward Chumila
Malota Soma
Dua Said
Damian Kimti
Nteze John
Thomas Kipese
George Lucas

Na wengine wengi

Jamani nachmka uu..!!! Hamis Gaga hakuwa SSC?
 
Madaraka Selemani mzee wa Kiminyio alikuwa balaa.........!!! Lakini nafurahi kwamba sasa Simba imerudi tena katika kiwango cha kimataifa! Na mamluki wote tunawajua ambao huwa wanapandikiza chuki klabuni mpaka tunafakarakana!! Kwa hiyo mwaka huu wetu tu!
 
Jamani Simba tunaomba tutumie uwanja mpya maana Uwanja wa Uhuru haututoshi tena! Keshokutwa tunacheza na Azam FC......Nyomi la kufa mtu kama kawaida!

Yanga tumbo joto sasa hivi!
 
zile enzi za Haidar Abedi mlikuwa wapi nyinyi? Jumanne , Daudi Salum,Athumani Mambosasa, Willy Mwanjibe, Mustafa Kassim,Ezekel Gryson na wengi kama hao aahhh usisikie hakuna mtu kukaa Kariakoo likipigwa gemu Uwanja wa Taifa kati ya Simba na Yanga
 
Na hii nimeikuta kule mtaa wa pili kwa MICHUZI,

simba sc yaongoza kwa ubora duniani?
6265d1256223796-a-sany4484.jpg
 
Attachments

  • SANY4484.JPG
    SANY4484.JPG
    75.1 KB · Views: 185
Gagarino mkuu alikuwa anazungusha dimba la kati SSC enzi zile akiwa na akina marehemu Method Mogela akizungusha namba sita! Bahati mbaya wote walifulia kwenda Jangwani!
Gagarino (RIP) alikua SSC akaenda Yanga, but Method Mogella (RIP)? Kama kumbukumbu zangu hazijadhurika na yale ya mabomu ya Mbagala then M. Mogella hajawahi kuchezea SSC.
Nadhani Mkuu umechanganya na Zamoyoni Mogella?
Nawakumbuka pia kina Twaha Hamidu 'Noriega', Idi Pazi 'Father', Frank Kassanga, Jamhuri Kiwehlo 'Mrema', Mustapha Hoza, Razak Yusuph 'Kareka' etc
 
Mkuu Method Mogela alipotoka Arusha timu yake ya kwanza ni SSC. Kama unakumbuka mwaka 1991 tulipochukua East and Central Africa Cup kwa kuifunga Villa ya Uganda ndio mwaka ambao Method alianza chezea SSC na wakati huo tulikuwa tunamwita "Fundi". Mwaka 92 au 93 ndipo Marehemu Gulamali akamwaga hela zake chafu na kumsajili Yanga
 
Na hii nimeikuta kule mtaa wa pili kwa MICHUZI,

simba sc yaongoza kwa ubora duniani?
6265d1256223796-a-sany4484.jpg
hii haina ubishi wakuu
tukutane tu na hao watani hapo mwisho wa mwezi tuzidi kupaa
Simba inatisha wandugu, Nikisikiliza kiredio changu kwenye hicho kijumba changu hapo raha mustarehe na usingizi wa pono unakuja nyie mkilia na kukatika kwa umeme kijijini kwetu hatujui hata hizo nguzo za umeme hatuzijui tunaadithiwa na mwanetu aliyeko chuo kikuu cha darisalama:D
 
Gagarino (RIP) alikua SSC akaenda Yanga, but Method Mogella (RIP)? Kama kumbukumbu zangu hazijadhurika na yale ya mabomu ya Mbagala then M. Mogella hajawahi kuchezea SSC.
Nadhani Mkuu umechanganya na Zamoyoni Mogella?
Nawakumbuka pia kina Twaha Hamidu 'Noriega', Idi Pazi 'Father', Frank Kassanga, Jamhuri Kiwehlo 'Mrema', Mustapha Hoza, Razak Yusuph 'Kareka' etc
wewe kumbukumbu zako naona bado zina mabomu ya mbagala,both method na zamoyoni mogella wamechezea simba na yanga.wote walianza na simba then wakaenda yanga layer katika vipindi tofauti.
 
Pamoja na viwango vizurh uwanjani,unakumbuka watangazaji wa mpira kwenye redio walivyo kuwa mahiri?
Chaz Hilary
Sued Mwinyi
Juma Nkamia etc,hawa walifanya burudani ya aina yake..ukienda uwanjani unabeba kiredio chako ili kusikiliza ingawa unaangali mechi.
 
unakumbuka Abdul Omar Masoud, halafu akaja Mikidadi Mahmoud unakwenda kwenye gemu halafu mbili kasorobo radio huiwachi kwenye kipindi cha MICHEZO,

munakumbuka sita bila pale national ilikuwa hapakaliki Dar
 
Mtemi Ramadhani
Omar Mahadhi 'Bin Jabir'
Mohammed Kajole
Mahammed Bakari 'Tall'
Jumanne Hassan Masimenti
Daudi Salum 'Bruce Lee'
George 'Best' Kulagwa
Martin Kikwa
Thuen Ally
Tenende
Adam Sabu
Affif (Kocha mchezaji)
 
Mimi nakumbuka miaka tangu late 70s. Over the years nawakumbuka wachezaji kama Omar Mahadhi, Daudi Salum (Bruce Lee), Mohamed Kajole, Aloo Mwitu, Mohamed Bakari Tall, Aluu Ally, Willy Mwaijibe, Hussein Ngulungu, Abdallah Kibadeni,Athumani Mambosasa, Iddi Pazi, Thuweni Ally, Rahim Lumelezi, George Kulagwa, Jumanne Masimenti, George Masatu, Hamisi Gaga, James Kisaka.Nicodemus Njohole.
 
Pamoja na viwango vizurh uwanjani,unakumbuka watangazaji wa mpira kwenye redio walivyo kuwa mahiri?
Chaz Hilary
Sued Mwinyi
Juma Nkamia etc,hawa walifanya burudani ya aina yake..ukienda uwanjani unabeba kiredio chako ili kusikiliza ingawa unaangali mechi.

Umemsahau Omari Jongo...
Wananikumbusha mei 18 pale Simba koko walipoufyata mkia na kutorudi uwanjani kumalizia ng'we
 
msitumie vichwa kubebea masikio.
Hiyo simba inayoongoza kwa ubora iko ktk soka la ridhaa na si la kulipwa...so viwango vyake ni sawa na kariakoo lindi, mji mpwapwa na uharo kama huo.
 
Back
Top Bottom