Simba SSC ya kitambo hicho

Sipo

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
2,139
91
Kikosi cha Simba cha sasa hivi kinanikumbusha timu ya kipindi cha nyuma cha Wekundu wa Msimbazi wakati ndio mpira unapigwa kihuakika. Ongeza wengine tujikumbushe soka lilivyokuwa tamu. Hata watani Yanga mnaruhusiwa kuweka Maveterani wenu hapa.

Mohamed Mwameja
Kasongo Athumani
Alphonce Modest
Deo Mkuki
George Masatu
Hussein Masha
Lenny Ramadhani
Edward Chumila
Malota Soma
Dua Said
Damian Kimti
Nteze John
Thomas Kipese
George Lucas

Na wengine wengi
 
hao wenye nyekundu wote walikuwa wanaza kwenye first eleven ya taifa stars,aliyekuwa anaongezeka ni edibily lunyamila tu kutoka yanga.
yaani simba ya ezi za popadic,we acha tu
 
Kikosi cha Simba cha sasa hivi kinanikumbusha timu ya kipindi cha nyuma cha Wekundu wa Msimbazi wakati ndio mpira unapigwa kihuakika. Ongeza wengine tujikumbushe soka lilivyokuwa tamu. Hata watani Yanga mnaruhusiwa kuweka Maveterani wenu hapa.

Mohamed Mwameja
Athumani Mambosasa
Mohamed Kajole
Kasongo Athumani
Alphonce Modest
Deo Mkuki
George Masatu
Hussein Masha
Lenny Ramadhani
Edward Chumila
Malota Soma
Dua Said
Damian Kimti
Nteze John
Thomas Kipese (huyu yanga)
George Lucas
Kaniki

Na wengine wengi

umemsahau Zamoyoni Mogela
 
Mnakumbuka kipindi Simba ilitaka kugeuzwa kuwa Taifa Stars? Kipindi inafadhiliwa na Azim Dewji. Ila ikachezea kichapo kwa timu ya Ivory Coast, Stella, wakati wa fainali za kombe la CAF.
 
Lakini Pia makocha hawa ni wa kukumbukwa sana Simba
Popadic
James Siang'a
Kibadeni, Abdallah
Kihwhelo, Jamhuri
na sasa Phiri
Simba imefanya makubwa saana ikiwa chini yao
Naamini kuna wengine pia, nimetaja wachache tu
 
umemsahau Zamoyoni Mogela
Walikuwepo akina

Abdul Ramadhan Mashine...
Micheal Paul (Nylon)
Mustafa Hoza
Bakari Iddi
Joseph Katuba
Mavumbi Omar...Goli lake 1990 la umbali wa mita 40 dhidi ya makandambili..YY
Madaraka Selemani
Iddi Selemani

Ilikuwa tishio....
 
Simba ya sasa ni tishio jamani. Kinachofurahisha zaidi ni kwamba wengi wao wana umri mdogo, kwa hiyo watacheza kwa miaka mingi na kuwa tishio zaidi siku za usoni. Chunga sana vijana hawa:

Juma K. Juma, Salum Kanoni, Juma jabu, Kevin Yondani, Joseph Owino, Juma Nyoso, Mohamed Simba Banka, Hillary Echesa, Haruna Moshi Boban, Emmanuel Okwi, Mussa Hassan Mgosi, Uhuru Selemani, Ramadhani Chombo Redondo, Captain Nico Nyagawa, Danny Mrwanda, Orodha inaendelea.....
 
Walikuwepo akina

Abdul Ramadhan Mashine...
Micheal Paul (Nylon)
Mustafa Hoza
Bakari Iddi
Joseph Katuba
Mavumbi Omar...Goli lake 1990 la umbali wa mita 40 dhidi ya makandambili..YY
Madaraka Selemani
Iddi Selemani

Ilikuwa tishio....

Msiwasahau:
Twaha Hamidu
Selemani pembe
Mbuyuni yondani
David Mihambo

Yaani kipindi hicho asubuhi siku ya mechi umeshajua first eleven..
hata hii tulio nayo ninzuri labda tuanze migogoro yetu.. lakini wana simba umeshukua kadi?
 
Mkuu Simba ya sasa nzuri lakini tunahitaji uongozi ulio makini sio hawa wanaopigana na wachezaji au kufanyia mabasi ya timu biashara ya daladala. Uongozi ukitulia nakwambia hata kwenye mechi za kimataifa tutafanya vizuri sana.
 
Walikuwepo akina

Abdul Ramadhan Mashine...
Micheal Paul (Nylon)
Mustafa Hoza
Bakari Iddi
Joseph Katuba
Mavumbi Omar...Goli lake 1990 la umbali wa mita 40 dhidi ya makandambili..YY
Madaraka Selemani
Iddi Selemani

Ilikuwa tishio....
Nakumbuka wakati huo siku ya mechi za Simba na Yanga ushabiki ulikuwa wa halia ya juu, tuliokuwa mikoani toka saa nane tumekaa kwenye radio zetu tunasubiri game ianze. Kusema kweli siku hizi msisimko wa mpira wa miguu umepungua kwa kiasi fulani na baaada ya kuwa na wachezaji wavuta bangi na wapenda ngono ndio kabisa mpira bongo umeshuka! Nwaya naona makocha wa kigeni wameleta mabadiliko kidogo hasa kwenye nidhamu ya ndani na nje ya dimba
 
Mkuu Simba ya sasa nzuri lakini tunahitaji uongozi ulio makini sio hawa wanaopigana na wachezaji au kufanyia mabasi ya timu biashara ya daladala. Uongozi ukitulia nakwambia hata kwenye mechi za kimataifa tutafanya vizuri sana.
Uchaguzi Desemba 2009.. Tweni tukashague viongozi walio makini watakao weka masirahi ya club mbele na siyo matumbo yao..
 
Mkuu Simba ya sasa nzuri lakini tunahitaji uongozi ulio makini sio hawa wanaopigana na wachezaji au kufanyia mabasi ya timu biashara ya daladala. Uongozi ukitulia nakwambia hata kwenye mechi za kimataifa tutafanya vizuri sana.
Uchaguzi Desemba 2009.. Twendeni tukachague viongozi walio makini watakao weka masirahi ya club mbele na siyo matumbo yao..
 
Lakini wadau mnaonaje kama Taifa Stars inayopata facilities zote ingekuwa ni ya wachezaji hawa wa zamani. Mimi naona kuwa tungekuwa tumepiga hatua kubwa sana kwenye maisha ya kisoka tofauti na sasa. Wachezaji wa kitambo hicho sifa yao kubwa ilikuwa nidhamu mfano mchezaji kama Hussein Marsha na Iddi Pazi pamoja na wengine nani atapinga nidhamu yao ilivyokuwa juu kwenye game pamoja na mazoezi. Bahati mbaya tu kipindi hicho kambi ilikuwa inakaa Jeshi la Wokovu kwanza anakabidhiwa Mziray au Mkwasa, wachezaji waitumia vifaa vya kwao binafsi na kumbuka ndio kipindi ambacho kama Ndolanga hampendi mchezaji basi mchezaji huyo alikuwa hachezei timu ya Taifa mpaka ajute
 
Nakumbuka wakati huo siku ya mechi za Simba na Yanga ushabiki ulikuwa wa halia ya juu, tuliokuwa mikoani toka saa nane tumekaa kwenye radio zetu tunasubiri game ianze. Kusema kweli siku hizi msisimko wa mpira wa miguu umepungua kwa kiasi fulani na baaada ya kuwa na wachezaji wavuta bangi na wapenda ngono ndio kabisa mpira bongo umeshuka! Nwaya naona makocha wa kigeni wameleta mabadiliko kidogo hasa kwenye nidhamu ya ndani na nje ya dimba
naona ushabiki umeanza kurudi mfano nimesikia simba wanaomba watumie uwanja wa taifa kwenye mechi zao kwasababu wanapata watazamaji wengi mno.. nakumbuka mechi moja ilichezwa Zanzibar simba ikashinda kwa penati kunawatu walitembea uchi ile midadi tu maana gemu ilichezwa usiku mchezajia wa yanga akakosa penati weeeeee watu wengine walisahau kuvaa nguo, nakunajaama alifirisika kwa sababu ya hiyo mechi alikuwa na kimgahawa sasa baada ya simba kushinda siakawa karibisha wapenzi wote wa simba ilikula kwake mazima...waliochangia soka kuanza kurudisha enzi zake ni Uongozi wa TFF si makocha wa kigeni tu soka sasa hivi ni biashara/kazi tofauti na kipindi cha kina Ndolanga yaani kulikuwa ni malumbano FAT,simba,Yanga,BMT na Wizara ya Michezo.. Nakumbuka Safari lager walijitoa udhamini wa ligi kwa ubishani wa kitoto baada ya kuingiliwa na mzee mzima kapuya..
 
vitabia hivi bado vipo...
ila kweli Mkuu kwa mfano Shabaani Dihile v/s Juma K. Juma
Kwanini Marcimo anafanya hivi kwanini hataki kutupa raha Watanzania kwa kuwa na kipa mzuri golini?
Marcimo hata kama Kaseja alikosea msamehe jamani, kashakoma, mpe namba anastahili kwa sasa nina uhakika hata nidhamu kwa sasa ni A+
 
Nakumbuka wakati huo siku ya mechi za Simba na Yanga ushabiki ulikuwa wa halia ya juu, tuliokuwa mikoani toka saa nane tumekaa kwenye radio zetu tunasubiri game ianze. Kusema kweli siku hizi msisimko wa mpira wa miguu umepungua kwa kiasi fulani na baaada ya kuwa na wachezaji wavuta bangi na wapenda ngono ndio kabisa mpira bongo umeshuka! Nwaya naona makocha wa kigeni wameleta mabadiliko kidogo hasa kwenye nidhamu ya ndani na nje ya dimba

Ina maana mlikuwa hamjui mechi inaanza saa ngapi? Kazi kwelikweli!
 
Back
Top Bottom