Simba Sports Club kazi mnayo

kasanga70

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
212
489
Ninaangalia mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Al Hilal Nina haya niliyoyaona.

1. Timu ina vipasi fulani hivi ambavyo havina impact yoyote.
2. Simba hamna timu ya ushindani tunacheza kitoto sana.
3. Nimependa physic na height ya wachezaji wa All Hilal na hizi ndizo height tunaenda kukutana nazo timu nyingi kimataifa. Sisi wachezaji wetu ni kama wanafunzi fulani hivi hakuna nguvu, ni soft soft tuu, hatari sana.
4. Hawa wachezaji wapya niseme kweeli hakuna hata mmoja ambae ana kitu cha pekee wengi ni wa kawaida sana.
5. Simba haina straika kabisa ukweli ndio huo wala kiungo mkabaji.
6. Tuseme ukweli tuu kocha hamna na tusitegemee kufika popote. Safari hii hakuna kombe tutakaloambulia.
7. Management haijui inahitaji nini ili ipate nini.

Very sorry for Simba 2022/23
 
Umeongea ukweli ila Wakikukisia watakucheka subiri kushambuliwa kile ni kikosi cha waliokosa kazi
Ukweli lazima usemwe sijui scouting yao ya wachezaji huwa inazingatia nini...una sajili c grade players then unatarajia b na a grade performance? To be honest mm si mdau Wa yanga afrika but navutiwa na timu yao ipo very competitive...with tough players sio utelembwe utelembwe uwanjani safari hii hata derby zote tunapoteza
 
img_2_1660247353537.jpg
 
Imekubidi ujiwahi mapema. Teh teh teh.
 
Sio suala LA kujiwahi...tuna mashindano muhimu mbele yetu tunahitaji consistence ktk performance sio pata potea
Mkuu, kama umeangalia games za simba utaona jicho la kocha kwa wachezaji wawezeshaji katika ushindi hana may be anatafuta first eleven yake.

Lakini ukisema wachezaji wote waliosajiliwa ni wabovu ntakupinga, wapo wazuri tena san okrah,okwa, phiri.....
 
Nakubaliana nawe katika hili.....
Coach haeleweki
Wachezaji aina ya mpira wanaocheza ni kawaida mno (poor teamwork spirit)
 
umetoa boko uliposema wachezaji wote wapya hawana kitu.
Kwa mtizamo wangu Phiri pekeake ndio naona anaweza tusaidia...hawa wengine sioni mpira wao kbs wanaishia kureceive na kurelease baasi pia hawana nguvu uwanjani. Chama nae keshaanza kulewa sifa
 
Hujamuona kapama alivyocheza leo umeangalia mpira wapi mzee halafu wale wachezaji wote Leo ndo mara yao ya kwanza kucheza pamoja uliona nafasi walizokuwa wanacheza banda na chama au ndio simba isifungwe.
 
Kwa mtizamo wangu Phiri pekeake ndio naona anaweza tusaidia...hawa wengine sioni mpira wao kbs wanaishia kureceive na kurelease baasi pia hawana nguvu uwanjani. Chama nae keshaanza kulewa sifa
Chama hajalewa sifa ila kocha ndo anataka chama acheze vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom