Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

Kweli wewe ni utopolo. Imewauma sana Simba kufanya sherehe, msimu huu Yanga inabidi irudi mapema icheze hapa bongo
Hiyo level Utopolo atapasikia tu hagusi huko.
Hivi vikombe ambavyo timu ilianza kuchukua kitambo bado kwenu mnaona ufahari sana?
kama si ufahari mbona mlikua mnalia lia Yanga anatembeza bahasha? kolo ulimbwanji?
 
Yanga bingwa wa Tanzania mara 29 na Simba mara 22, nani zaidi?
 
Ubora wa Yanga ni makombe matatu na kufika fainali ya kombe la shirikisho la Afrika!

Udhaifu wa Simba ni kuzungusha yaani makombe sifuri!
😁😁😁😁😁😁
Hayo makombe Simba imechukua sana. Simba haijachukua kombe gani kwenye ligi ya Tanzania?
1. African super cup
2. CAF champion league.
Hapa ukicheza ukafika hata makundi wewe ni mwanaume.
Hilo shirikisho hata Ihefu, Namungo, Malumo na KMC wanacheza.
Shirikisho ni kombe la timu walioshika nafasi ya 3 na 4 kwenye league ya nyumbani na waliotolewa CAF Champion league. Ubora wa Yanga tunaupima wapi?
Unateseka ukiwa wapi 😂😂😂😂😂 Ukitaka kuona shirikisho ni kombe la utopolo. Kwenye African Cup Yanga ipo?
 
Tanzania! Mwananchi!
Simba ni wenye nchi. Unateseka sana ndugu. Mpira ni burudani. Rekax kijana
Kutoka na vigezo kubadilishwa vya CAF, Yanga, inaweza kujilegeza ili ishike nafasi ya tatu ikacheze shirikisho
Shirikisho league nzuri kuliko Chsmpion league na Super Cup
 
Huoni aibu Simba msimu mzima imezungusha yaani imeambulia sifuri kweli!
 
Simba ni wenye nchi. Unateseka sana ndugu. Mpira ni burudani. Rekax kijana
Kutoka na vigezo kubadilishwa vya CAF, Yanga, inaweza kujilegeza ili ishike nafasi ya tatu ikacheze shirikisho
Shirikisho league nzuri kuliko Chsmpion league na Super Cup
Burudani halafu unapata Zero!
 
Labda nisaidie kufahamu ni lini mashabiki wa Makolo walitengana au kufarakana? Aidha ni wakati gani hawakutekeleza majukumu yao kwa ufasaha? Na mwisho mapato gani yameongezeka wakati watu wameingizwa karibu na bure kwa maelezo kuwa Simba inarudisha fadhila kwa mashabiki wake!
Rubbish
 
kama si ufahari mbona mlikua mnalia lia Yanga anatembeza bahasha? kolo ulimbwanji?
Acha kuteseka ndugu. Watu hawajachukua hata kombe moja lkn bado mnateseka. Nyie ni utopolo kweli.
"Wananchi hawana haki"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom