kilambalambila
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 9,291
- 8,622
Samaki anayeachama achama ndo ananaswa na ndoana....Manara kaachama achama
Mkuu, hapa ni baada au kabla ya Kagera Sugar kurudishiwa points zao?
What a beautiful weekend? Asante kwa maelezo haya mkuu,nimefurahi sana.Ndio mkuu
Maana baada ya simba a.k.a mezani or maandamano kupewa zile point walikuwa na jumla ya points 62...hapo Yanga (Bingwa mara 2) ana viporo ya mechi 2
Baada ya kagera kurudishiwa point zao 3...hapo Yanga ana viporo ya mechi 2Mkuu, hapa ni baada au kabla ya Kagera Sugar kurudishiwa points zao?
Kwani Serengeti boys inavyokwenda kutuwakilisha Afcon under 17 ilishinda uwanjani? Si tulifungwa bahati mbaya walimchezesha mchezaji asiyestahiki wakaondolewa mezani. Mwaka ule tuliqualify Afcon sijui ni under 17 au 21 lakini kwa kumchezesha Nurdin Bakari tulipokwa point mezani na hatukwenda. Suala siyo point za mezani, ni kama Farki alistahiki kucheza ama la.Mlishinda?
Yanga daima undisputed champWhat a beautiful weekend? Asante kwa maelezo haya mkuu,nimefurahi sana.
Viva Yanga
Asante mkuu, Yanga Bingwa tena.Baada ya kagera kurudishiwa point zao 3...hapo Yanga ana viporo ya mechi 2
Kama Lufunga sioMchezaji anaitwa kutoa ushahidi.. dah aisee soka la bongo hakuna mfano wake duniani kote
Halafu viporo vinaliwa home. Raha sanaBaada ya kagera kurudishiwa point zao 3...hapo Yanga ana viporo ya mechi 2
Hahahaaaaaaaa kama nakuona mkuu,umefurahije sasa?Halafu viporo vinaliwa home. Raha sana
TFF has made my day.Hahahaaaaaaaa kama nakuona mkuu,umefurahije sasa?
Faki awe na kadi 3 au asiwe nazo, ubingwa unapatikana kwa kushinda uwanjani.Ni aibu kubwa kwa timu iliyofungwa uwanjani eti kulalamikia point za walioshinda as if walichezesha zaidi ya wachezaji 11 uwanjani.Umesikia hukumu? Faki ni kweli ana kadi 3 za njano oooh Simba wamechelewa kupeleka lalamiko foolish