MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,644
- 33,445
Wakuu,
Kwa ufupi ili kuinusuru hii timu ni muhimu haraka sana iundwe kamati ya mpito kusimamia timu kumaliza ligi kwa heshima. Kamati ndogo itayofanya kazi na muwekezaji kwa karibu pamoja na benchi la ufundi. Hii kamati iundwe na wachezaji wa zamani wa Simba na viongozi wenye heshima kwenye mpira wetu.
Hiyo kamati baada ya ligi watoe ripoti juu ya uendeshaji wa club kwa wanachama na jamii kwa ujumla ili ifahamike msingi wa tatizo la Simba SC. Baada ya hapo iundwe kamati nyingine itayokuja na mapendekezo ya kuboresha katiba na uendeshaji wa club yetu.
Wanachama na mashabiki tumieni nafasi yenu kushinikiza kujua uendeshaji wa club baada ya matokeo mabovu mfululizo na dalili mbaya ya uzembe kiuongozi na uwekezaji kwa ujumla.