Simba SC ya Kimataifa kushuka dimbani kuikabili Al Masry Aprili 2, Misri

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Kikosi cha Simba Sc kitamenyana na Al Masry katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kesho saa 1 Jioni nchini Misri katika dimba la New Suez.

Mechi hiyo ikiwa ni mechi ya kwanza ugenini nchini Misri, Mechi ya marudiano itakuwa Aprili 9, 2025 hatua ya robo fainali katika dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam.

1743504095441.png
 
Kolo aka robo robo fc atakaa. 2 mtungi ni chache.
 
Back
Top Bottom