Simba sc vs kagera sugar

Simba sc vs kagera sugar

mkuu kocha hana matatizo tatizo ni rage anapenda kukumbatia makundi sasa wamekutana na julio nae anapenda majungu kama mama wa kiswazi..timu za simba na yanga zinaendeshwa na wenye fedha ukiwauzi basi wanaongea na wachezaji utashangaa watakuwa hawajitumi kabisa ili timu ifungwe wao wafurahi.. Angaliaàkina sunzu wanalipwa zaidi ya milion tano lakini hawaisaidii timu angalia nidhamu ya boban....
......kitendo cha kuendesha Club kama Mchezo wa kubahatisha nako kuna tu-cost kwakweli; Simba imekua ni kama mali ya Simba sasa.
 
mkuu kocha hana matatizo tatizo ni rage anapenda kukumbatia makundi sasa wamekutana na julio nae anapenda majungu kama mama wa kiswazi..timu za simba na yanga zinaendeshwa na wenye fedha ukiwauzi basi wanaongea na wachezaji utashangaa watakuwa hawajitumi kabisa ili timu ifungwe wao wafurahi.. Angaliaàkina sunzu wanalipwa zaidi ya milion tano lakini hawaisaidii timu angalia nidhamu ya boban....

Mkuu bila shaka kwenye i ulitaka kuweka u.
 
du!simba wakali,mpaka messi yupo?nimesoma kwenye gazeti moja kuwa Fabrigas kamwambi malkia wa nyuki kama dau lipo anatua msimbaz,

Hivi Mess na Fabrigas hawapo timu moja kweli!halafu mfungaji wa leo Iniesta(Nesta) tehe he he,Barca noma.
 
Wakuu, kuna mwingine amesepa siku nyingi! Mwenye taarifa zake alipo, atujuze: huyu si mwingine bali ni Saint Ivuga ana Avatar ya nembo ya Simba SC.
 
Msimu huu mnaweza shika nafasi ya 4 au 5
 
Machi 27, 2013
bukoba, Tanzania

Results : Kagera sugar 1 - Simba Sc 0

Matumaini ya mabingwa watetezi Simba kumaliza Ligi Kuu katika nafasi 2 za juu yametiwa doa na Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba baada ya kupoteza kwa bao moja kwa bila.

Bao la ushindi katika mchezo huo lilitiwa kimiani na Amandus Nesta katika dakika ya 46 baada ya mabeki wa Simba kushindwa kuuondosha mpira katika hatari. Simba ambao kipindi cha kwanza walicheza mchezo wa kuvutia walionekana kupoteana kipindi cha pili huku mabeki wa Kagera Sugar wakifanya kazi ya ziada kuwadhibiti Mrisho Ngassa na Ramadhan Singano.

Katika mchezo mwingine Azam imezidi kuwaacha kwenye mataa Simba baada ya kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa bila dhidi ya Prisons. Simba sasa inajiandaa kwenda jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo mwingine wa Ligi Kuu dhidi ya Toto Africans.

Source: WWW.BUKOBASPORTS.COM pata picha za mchezo huo ktk source hiyo hiyo.
 
Sijaona ajabu yoyote Simba kufungwa na Kagera Sugar. Ni matokeo ya kawaida sana sema kwa kuwa Simba hajafanya vizuri ktk ligi ya mwaka huu basi itaonekana ni issue sana
 
Back
Top Bottom