du!simba wakali,mpaka messi yupo?nimesoma kwenye gazeti moja kuwa Fabrigas kamwambi malkia wa nyuki kama dau lipo anatua msimbaz,Dakika ya 15 hawajafungana. List ya simba 1. kaseja 2. cholo 3. miraji adam 4. hassan khatib 5. kapombe 6.mkude 7.edward christopher 8. seseme 9. messi 10. chanongo 11. ngasa
Hawa kagera tunawapiga 2-0 leo anayebisha apande dau
msipo wapiga uko tayari kujing'ata mgongoni!!Hawa kagera tunawapiga 2-0 leo anayebisha apande dau
wewe uwajui simba na kibadeni ni simba damu,ushindi leo ni lazimakama si droo basi mnapigwa kimoja.
Chamazi kipindi cha pili AZAM 1 TANZANIA PRISONER 0
Dah mkuu ntaanza kuagizia safari sasa hivi