Naona leo guests ni wengi kweli....
There are currently 100 users browsing this thread. (30 members and 70 guests)
Yupo humu ndani
Inawezekana ni mmojawapo wa guests zaidi ya 100?Wapi crashwise
Eh Mungu saidia tutoe hata sale
Inawezekana ni mmojawapo wa guests zaidi ya 100?
Nina uhakika atakuja baada ya mechi na kuanza kushusha verse....aje bana aanze kuporomosha mitusi kama kawaida yake ndugu yetu crashwise
Nina uhakika atakuja baada ya mechi na kuanza kushusha verse....
Dakika 90 zimeisha.......Ndani ya dakika za nyongeza sasa
We ndio mchawi wetu
jamani waungwana ina maana kagera hamna wana jf mbona hamtupi matokea au leo sio jumatano.