Simba sc vs kagera sugar

Simba sc vs kagera sugar

Kwa kweli siwapendi Simba, kwa hali hii hadi nimeanza kuona huruma! Sijui Mwanza itakuwaje!
 
Sikia clouds mtu wao likihojiwa kwanza namshukuru mungu mjaza neema ndogondogo kwanza naomba wana simba msikate tamaaa na upuuzi kibao nanikakwambia julio kocha
 
Na Mpira umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Kagera 1,Simba 0,Pole wana simba na karibu tena Kagera

byabato
Wazazi wako buzy kwenye vikao vya send off , mtoto anaendelea kuchezea LIBOLO wakimaliza vikao, mtoto ana mapacha. hahaahaaaaaa. hongera sana libolo la kagera
 
haya yote ni sababu ya TFF inayo-mwendekeza RAGE na kuvuruga mipango mizuri inayotaka kufanywa na wana-Simba. kamwe Simba haitapata mafanikio kwa kipindi kama Rage ataaendelea kukomalia kwenye kiti cha uenyekiti wa Club.
 
Hizo rasharasha, mvua iko kirumba bana. Kisiki cha mpingo, wenye shoka wameshindwa, unakuja na panga!
 
haya yote ni sababu ya TFF inayo-mwendekeza RAGE na kuvuruga mipango mizuri inayotaka kufanywa na wana-Simba. kamwe Simba haitapata mafanikio kwa kipindi kama Rage ataaendelea kukomalia kwenye kiti cha uenyekiti wa Club.
Rage nidume la nyani bana. mtapigakelele mwisho wa siku bado yeye dumw
 
........hivi huyu kocha na Rage wake unaona wanafaa kuendelea kuwa nao????

mkuu kocha hana matatizo tatizo ni rage anapenda kukumbatia makundi sasa wamekutana na julio nae anapenda majungu kama mama wa kiswazi..timu za simba na yanga zinaendeshwa na wenye fedha ukiwauzi basi wanaongea na wachezaji utashangaa watakuwa hawajitumi kabisa ili timu ifungwe wao wafurahi.. Angaliaàkina sunzu wanalipwa zaidi ya milion tano lakini hawaisaidii timu angalia nidhamu ya boban....
 
Back
Top Bottom