Simba sc vs kagera sugar

Simba sc vs kagera sugar

Daa mtani ndo badorekodi yako ya kutoshinda nje ya temeke unaendelea
 
Goli la Kagera Sugar limefungwa na Amandus Nesta dakika ya 46....
 
Labda nikusaidie kagera wataweka goli la pili simba kwa huruma za refa watapewa penalt akafu yule aliekosa juzi atakkosa tena na mpira kwisha
 
Infact n kawhisky atakosa tena penalt leo endeleen kujipamoyo
 
Simba amngoje kibonde wake yanga ili apunguzie machungu, ila leo kakalia msumari wa moto
 
Simba wamekosa goli la wazi kabisa....

Simba wanashambulia sasa....
 
Simba wanakosa goli......Kona....

Salum Kanoni anaokoa......
 
Back
Top Bottom