Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,287
- 14,121
Thank you Wawa, and Ame. You have done it.
Haiwezekani timu nyingine zilipe mushahara mikubwa,zinunue wachezaji kwa bei kubwa halafu timu nyingine iwe bora sababu mmiliki wake ni bilionea,hai make sense na haiwezekaniTimu ya AZAM ilipaswa kuwa timu bora Tanzania kwa sababu ya kumilikiwa na bilionea lkn huwa sielewi pamoja na ukwasi iliyo nao kwa nini huwa hafiki kileleni kuzizidi simba na yanga..
hilo silijui, kama hawalipwi vizuri hilo ni kati ya wachezaji na mmilki wa timu, lkn kinacho julikana ni kuwa mmiliki wa AZAM ni bilionea, sasa ni hiari yake kuamua kuwekeza vilivo na kwa malengo.Haiwezekani timu nyingine zilipe mushahara mikubwa,zinunue wachezaji kwa bei kubwa halafu timu nyingine iwe bora sababu mmiliki wake ni bilionea,hai make sense na haiwezekani
Mkuu usinilshe maneno tafadhali,sijasema wachezaji wa Azam hawalipwi vizuri bali nimesema kuna vilabu hapa nchini vinalipa zaidi yao.hilo silijui, kama hawalipwi vizuri hilo ni kati ya wachezaji na mmilki wa timu, lkn kinacho julikana ni kuwa mmiliki wa AZAM ni bilionea, sasa ni hiari yake kuamua kuwekeza vilivo na kwa malengo.
Sent using Jamii Forums mobile app
UgandaKipa wa Azam raia wa wapi
Bilonea mwenyewe mshabiki wa Simba FC.Haiwezekani timu nyingine zilipe mushahara mikubwa,zinunue wachezaji kwa bei kubwa halafu timu nyingine iwe bora sababu mmiliki wake ni bilionea,hai make sense na haiwezekani
mpira ni ajira, kama AZAM wataamua kuwekeza kwenye Academy naaamini tutakuza vipaji vya watanzania ktk soka na kutengeneza kina SAMATA wengi zaidiMkuu usinilshe maneno tafadhali,sijasema wachezaji wa Azam hawalipwi vizuri bali nimesema kuna vilabu hapa nchini vinalipa zaidi yao.
Pili,kwenye maisha kuna vipaumbele, huwezi jua labda bwana Bakheresa mpira si kipaumbele chake anawekeza zaidi kwenye vitu vingine....so kutaka yeye a compete na timu nyingine ni kama kumpangia maisha na jinsi ya kufanya biashara japo akiamua anaweza lakini je mpira wa bongo unalipa kiasi hicho?
Abarao alikuwa mpumbavu sanaNi Mathias Kigonya ni raia wa Uganda.
Azam FC wamemsajili kutoka Forest Rangers ya Zambia kwa pendekezo la Kocha.
Simba tuna kikosi imara,kikosi kipana tuna uwezo wa kucheza mechi mbili kwa wakati mmoja,Tumechukua Simba Super Cup. Daah kuishi Tanzania Raha sanampira ni ajira, kama AZAM wataamua kuwekeza kwenye Academy naaamini tutakuza vipaji vya watanzania ktk soka na kutengeneza kina SAMATA wengi zaidi
siamni kama Bilionea Mzee Bakhresa haja dhamiria kuwekeza kwenye soka, asinge jenga kiwanja cha kisasa na mambo mengine amabayo siyajui, ninacho kiona kuna figisu figisu nyingi kama kawaida yetu..
Mpira ni ajira kama kuna uwekezaji wa kutosha....hakuna mpira wa kibongo, soka inalipa sana endapo tu kuna uwekezaji na malengo.
lakini pia wachezaji acheni tamaa ya kutaka kulipwa fedha kama vile uko Chelsea, turidhike na tuwe wazalendo kwa taifa letu kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ni mechi ya ....?Sio mbaya.Simba imetoka droo na point moja mkononi.
Mechi ya jana African Sports na Yanga wametoka ngapingapi?
Yanga wamefungwa. African sport wamepata point3 Sasa wako nyuma ya Simba kwenye Msimamo
Oooh...! Kumbe wasiojua wengiSiyo kwamba mmemaind baada ya record ya kuwa Timu pekee Duniani kutofungwa mchezo wowote kutibuliwa na African Asports???
Marefa tu wanaochezesha pale kati wana timu zao wanazozishabikiaBilonea mwenyewe mshabiki wa Simba FC.
Plus Shabalala badala ya kumkaba mtu anarudi nyuma anamwachia upenyo aende kufungaThank you Wawa, and Ame. You have done it.
Huwa najichanganyaga mara mojamoja, ila anajitahidi sana. Goli la kwanza la Azam alikuwa anamkaba Nado kwa macho, anarudi nyuma badala ya kumkaba.Plus Shabalala badala ya kumkaba mtu anarudi nyuma anamwachia upenyo aende kufunga
Muda fulani mpira umesimama kabla aimba haijafungwa goli Manula alimwita Shabalala akawa anampa maelekezo lakin bado akawa anarudia makosa yaleyale mbaya zaidi magoli yote yametokea upande wake pia kuna kipindi alikuwa anamsindikiza lyanga bahati azam walikosaHuwa najichanganyaga mara mojamoja, ila anajitahidi sana. Goli la kwanza la Azam alikuwa anamkaba Nado kwa macho, anarudi nyuma badala ya kumkaba.
Nadhani ameangalia ile mechi na amejifunza kitu flani.Muda fulani mpira umesimama kabla aimba haijafungwa goli Manula alimwita Shabalala akawa anampa maelekezo lakin bado akawa anarudia makosa yaleyale mbaya zaidi magoli yote yametokea upande wake pia kuna kipindi alikuwa anamsindikiza lyanga bahati azam walikosa