Simba SC Vs Azam FC: Mechi imemalizika kwa sare ya mabao Mawili kwa Mawili

Kauli yako imeonesha kuridhika kupata sare dhidi ya Azam kisa tu jana Yanga kafungwa na African sports ndio maana nikakuona hamnazo. Unashindwa kujua kuwa hii ni ligi ni mwendo wa mbio za kufukuzana ukipoteza point tatu unampa nafuu unayekimbizana nae. Mpaka sasa ile kauli ya kwamba tukishinda viporo vyote tunaongoza ligi inakuwa imeshayayuka kama ice cream za Azam.
Siyo kwamba mmemaind baada ya record ya kuwa Timu pekee Duniani kutofungwa mchezo wowote kutibuliwa na African Asports???
 
Hao washirikina wa kutumia paka walitakiwa wafungwe kabisa. Hawakutakiwa kupata hata hiyo pointi 1!
 
Sasa jana African Sports wametibua record gani?Hii ndio tabu ya kuujulia mpira ukubwani,mechi ya jana ni ya kirafiki na si VPL.

Kwenye VPL mpaka hivi sasa Yanga hajapoteza hata mechi moja.
Wewe uliujua mpira ukiwa bado Tumboni???
 
90+2'

Kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL...
Mkuu naona kiporo Cha leo kilikuwa na uchachu kidogo. Ila big up mkuu kwa jinsi unavhoripoti game za vpl, Kama team inaboronga unaripoti hivyo hivyo bila kuongeza au kupunguza Radha. Kwa Hilo umekomaa.
 
Mpira hujui yaani kwa matokeo yenu mabovu ya leo ya VPL unajiliwaza kwa kirafiki ya jana...


Yanga jana hata angepigwa 10 bado hana cha kupoteza,wewe umedroo umepoteza point mbili.
Mkuu uko wapi? Kama upo aroud minazini plz drop here by
 
Back
Top Bottom