Simba SC Vs Azam FC: Mechi imemalizika kwa sare ya mabao Mawili kwa Mawili

Timu ya AZAM ilipaswa kuwa timu bora Tanzania kwa sababu ya kumilikiwa na bilionea lkn huwa sielewi pamoja na ukwasi iliyo nao kwa nini huwa hafiki kileleni kuzizidi simba na yanga..
Haiwezekani timu nyingine zilipe mushahara mikubwa,zinunue wachezaji kwa bei kubwa halafu timu nyingine iwe bora sababu mmiliki wake ni bilionea,hai make sense na haiwezekani
 
hilo silijui, kama hawalipwi vizuri hilo ni kati ya wachezaji na mmilki wa timu, lkn kinacho julikana ni kuwa mmiliki wa AZAM ni bilionea, sasa ni hiari yake kuamua kuwekeza vilivo na kwa malengo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usinilshe maneno tafadhali,sijasema wachezaji wa Azam hawalipwi vizuri bali nimesema kuna vilabu hapa nchini vinalipa zaidi yao.

Pili,kwenye maisha kuna vipaumbele, huwezi jua labda bwana Bakheresa mpira si kipaumbele chake anawekeza zaidi kwenye vitu vingine....so kutaka yeye a compete na timu nyingine ni kama kumpangia maisha na jinsi ya kufanya biashara japo akiamua anaweza lakini je mpira wa bongo unalipa kiasi hicho?
 
Haiwezekani timu nyingine zilipe mushahara mikubwa,zinunue wachezaji kwa bei kubwa halafu timu nyingine iwe bora sababu mmiliki wake ni bilionea,hai make sense na haiwezekani
Bilonea mwenyewe mshabiki wa Simba FC.
 
Mkuu usinilshe maneno tafadhali,sijasema wachezaji wa Azam hawalipwi vizuri bali nimesema kuna vilabu hapa nchini vinalipa zaidi yao.

Pili,kwenye maisha kuna vipaumbele, huwezi jua labda bwana Bakheresa mpira si kipaumbele chake anawekeza zaidi kwenye vitu vingine....so kutaka yeye a compete na timu nyingine ni kama kumpangia maisha na jinsi ya kufanya biashara japo akiamua anaweza lakini je mpira wa bongo unalipa kiasi hicho?
mpira ni ajira, kama AZAM wataamua kuwekeza kwenye Academy naaamini tutakuza vipaji vya watanzania ktk soka na kutengeneza kina SAMATA wengi zaidi
siamni kama Bilionea Mzee Bakhresa haja dhamiria kuwekeza kwenye soka, asinge jenga kiwanja cha kisasa na mambo mengine amabayo siyajui, ninacho kiona kuna figisu figisu nyingi kama kawaida yetu..
Mpira ni ajira kama kuna uwekezaji wa kutosha....hakuna mpira wa kibongo, soka inalipa sana endapo tu kuna uwekezaji na malengo.
lakini pia wachezaji acheni tamaa ya kutaka kulipwa fedha kama vile uko Chelsea, turidhike na tuwe wazalendo kwa taifa letu kwanza.

Simba tuna kikosi imara,kikosi kipana tuna uwezo wa kucheza mechi mbili kwa wakati mmoja,Tumechukua Simba Super Cup. Daah kuishi Tanzania Raha sana
 
Hawa Mipaka/Wamatopeni/Mbumbumbu/Bodaboda Fc wanatutia aibu na mambo ya ushirikina jana tena wamemleta mama mchawi na matungiri shingoni akienda kuwaloga Azam hapa inabidi TFF walikemee suala hili vinginevyo yatakuja kutukuta makubwa
 
Huwa najichanganyaga mara mojamoja, ila anajitahidi sana. Goli la kwanza la Azam alikuwa anamkaba Nado kwa macho, anarudi nyuma badala ya kumkaba.
Muda fulani mpira umesimama kabla aimba haijafungwa goli Manula alimwita Shabalala akawa anampa maelekezo lakin bado akawa anarudia makosa yaleyale mbaya zaidi magoli yote yametokea upande wake pia kuna kipindi alikuwa anamsindikiza lyanga bahati azam walikosa
 
Nadhani ameangalia ile mechi na amejifunza kitu flani.
 
Back
Top Bottom