Simba sc: Utapeli wa kisoka wa MBUYU TWITE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba sc: Utapeli wa kisoka wa MBUYU TWITE

Discussion in 'Sports' started by mwakitundilo, Aug 16, 2012.

 1. m

  mwakitundilo Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeudhishwa sana na kitendo cha kitapeli na kisichokuwa cha kiuanamichezo kilichofanywa na mchezaji MBUYU TWITE wa APR ya Rwanda. Mchezaji huyu alisajiliwa na Simba SC kutoka APR, lakini katika hali ya kustaajabisha mchezaji huyu akiwa kishalipwa kitita cha USD 30,000 kaamua kusajili pia YANGA. Nawashauri wanachama, viongozi, mashabiki na "wazee" wa Simba kumtia adabu mkongoman huyu ili awe fundisho kwa wachezaji wengine wenye tabia kama hiyo. Adhabu ninayopendekeza ni kumshusha shipa naamini "wazee" wangu wa Simba hili liko ndani ya uwezo wenu. NAWASILISHA
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,521
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  Siamini jf imeingiliwa na waganga wa kienyeji kwa kwelii waaminio sanamu za michellin loh
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hahahahahah.....
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mbona waganga wa kienye wako wengi tu au wewe mgeni wapi mzizi mkavu...lol
   
 5. N

  Ndozya Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwafrika anayejifanya hajui juu ya uwepo wa waganga wa kienyeji ni mwongo. Science hii ipo ukitaka omba uoneshwe kazi.
   
 6. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hii inaonyesha wazi kuwa hii nchi haifuati sheria na sijui tutakuwa tumeiga hii tabia kutoka wapi (Somalia???)
  Nina uelewa mdogo wa masuala ya sheria lakini nachojua ni kuwa kama mtu akivunja mkataba halali (na kwa jinsi nilivyouona wa Simba/Twite kwenye Mwanaspoti) basi shhria zinafuatwa. Sasa inakuwaje watu wanaendelea kupiga kelele kwenye media?
  Na kuonyesha wazi kuwa hii nchi imeshaalibikiwa, mleta topic anaongelea mambo ya 'kushusha shipa'!!!!!
  Kweli kwa mwendo huu tutawapata watanzania wa kumzuia Mbunge asilipwe 10m kwa siku??? ...au kumwajibisha waziri/mwenyekiti wa kijiji????

  Kuna haja ya kubadili wimbo wa taifa maana inaelekea "Mungu ibariki Tanzania" haijafanya kazi!!!!

   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mkuu mi naungana na wewe asilimia 100, hiyo ndiyo itakuwa dawa ya kudumu ya kupambana na wachezaji wenye tabia za kimalaya kama mbuyu twite.
   
 8. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kamuulize David Rudisha na MacDonald Malliga wanatumia sayansi gani!! ...hata kijana wetu Mbwana Samatta
   
 9. m

  makumvi Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Twite hakutenda haki, inaonyesha wazi kuwa amejawa na tamaa, lakini akae akijua kuwa unapozingumzi soka la bongo ni Simba na Yanga na ndo zenye mashabiki wengi hapa nchini miongoni mwao wapo waungwana na wengine cyo waungwana wasi wasi wangu ni kwamba asije akapata madhara toka kwa baadhi ya mashabaki tunaowaita ma BANDIDU, Club yake imesema itampa ulinzi mkubwa kuhakikisha anakuwa salama siku zote lakini hii haitoshi maana hata yeye hatakuwa huru kuishi na kufanyakazi hapa Bongo. Chamsingi ni kwamba hivi vilabu viwili vikae na vielewane juu ya hili jambo maana nasikia hata mzaziwake ameshasema hayuko tayari kumleta mwanae aje huku mpaka huu utata utatuliwe kwanza.
   
 10. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Join Date : 15th August 2012

  Posts : 4
  Rep Power : 0
  Likes Received 0

  Likes Given 3


  Karibu JF. Pili angalieni sana huyu msomali anawauza kwa bei chee mno.
   
 11. M

  Magesi JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rage n jambaz pamoja na kaburu ndan ya simba
   
 12. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha ha ama kweli JF is a mix of vitu vingi(some of them include sh*t)...
  Sijaelewa hapa,hivi unapendekeza hivi Vilabu vikae vielewane juu ya suala la Twite ama Yondani?,manake kama Twite hata jina lake halijapelekwa na Simba,sasa sijui wakae kuelewana nini?
   
 13. m

  makumvi Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ishu ni kwamba Simba wameshakubali matokeo juu ya huyu mchezaji Twite ila kinachowatia hasira ni kwamba mchezaji ametuma mtu arudishe zile pesa kwa simba lakini simba wamekataa kuwa wanataka mchezaji mwenyewe aende akaonane nao ana kwa ana, mbaya zaidi mchezaji hapatikani kwenye cmu, suala la Yondani tusubiri maamuzi ya tff ndo tutajua matokeo kamili.
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Acha usen kwani wewe, nani kakupa kazi ya kujidai kukaribisha watu kama hujui kitu funga masaburi yako..Kwa hiyo Yanga mnauzwa na nani au mmenunuliwa na nani?
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hahahahahaaaa!!!!!! usitake ncheke ati....
  Mkuu wangu matusi ni dalili ya kuishiwa hoja.....
  After all sijaona tusi jipya hapo kajipange kwanza.
  Nimeamini tungemchukua na Okwi Klabu ingevunjwa rasmi..
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Matusi ni nini?
   
 17. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Too young to comprehend.....Mwaka huu mtatukana sana.
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,521
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  poa tu yote kheri
   
 19. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Yule Hatacheza Soka hata Tanzania. Nawahakikishia HATACHEZA kwa mbinu yoyote ile.. Hatacheza!

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 20. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ningeshangaa kama mjadala huu ungefungwa bila jina la Okwi kutajwa. Kwa kweli itachukua muda mrefu sana kwa wana Yanga kumsahau Okwi. 5 - 0 kwa timu yenye hela kama Yanga ni nyingi mno

   
Loading...