Simba sc: Utapeli wa kisoka wa MBUYU TWITE

Matusi ni nini?

Matusi can simply be defined as maneno yaliyo karibu katika midomo ya Viongozi na Mashabiki wa Simba.
Utamjuaje basi Mshabiki au Kiongozi wa Simba Sports Club? tumia mbinu hii:-
Anza ku'argue naye,akikujibu mara 1 kistaarabu ongeza arguement ya 2...sikilizia likimtoka tusi/matusi katikati ya majibu yake jua huyo ni Mdau mkubwa sana wa Simba Sports Club,anaweza kuwa Mshabiki wa kutupwa,Mwanachama au Kiongozi.
 
Hiv yanga wanajivunia nn, 2pange vikos vya wa2 11 11 tuone wapi ni wakali mwaka huu. Wao wanadhan wachezaji wote kwa pamoja wanacheza
 
Hiv yanga wanajivunia nn, 2pange vikos vya wa2 11 11 tuone wapi ni wakali mwaka huu. Wao wanadhan wachezaji wote kwa pamoja wanacheza

wanajiandaa kununua mechi..lakini kisoka hata simba B hawaifungi.
 
Wakongomani walio wengi ni matapeli tu..ni kama walioko kwenye mabendi na masaloon ya kike.tusubiri akianza kusumbua
 
Back
Top Bottom