Mm nimemkubali hata alipofungwa mechi zile mbili watu waliposema wamtimue mm sikuafiki kabisa...si wangemwacha tuu yeye amalizane na NPL? Ndio alikua wa muda kwani kuna shida gani wangemwajiri kuwa wa kudumu?Kwani hukusikia kuwa Mgunda aliletwa kama kocha wa muda?!
Na ss wanasimba tuliomkubali Mgunda je?? 😆 😆 😆 😆Ukiona yanga wanalalamika sana bas tupo sahihi..
Kocha wa simba, wanaoumia utopolo...
KumbeeMtola toka ameenda kusoma aliporudi alivadirishiwa majukumu. Hata kwenda mwanza kusaidiana na Mgunda alienda kama emergence tu
Na wewe pia Heri ya mwaka mpya rafiki..Heri ya mwaka mpya rafiki yangu mimi
Hiii hapanaaa ya kupigwa kama umesimama??Ni kweli nimesikitishwa na akili mbovu za viongozi wa Simba.Tutarajie kikosi kuanza kufanyiwa majaribio tena na sasa nadhani kwa bara Simba ameshajitoa kwenye ubingwa.Natabiri kuwa na mechi yake na uto atapigwa kama amesimama.Upuuzi sana huu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa mafanikio aliyonayo mgunda Hadi sahivi angekua nayo mzungu angekua anaimbwa Sana trust me.Sababu zipi zimepelekea apewe boss mpya? Unafikiri kufuzu makundi ya CAF ni jambo dogo? Kocha aliyekuja ni mzuri lakini tatizo letu ni kukurupuka hatutulii na kocha mmoja,Mgunda angeaminiwa na kupewa wachezaji wazuri
Nyie mbona mlimfukuza mwambusi na mkwasa mkamleta Nabi?Kweli kabisa mafanikio aliyonayo mgunda Hadi sahivi angekua nayo mzungu angekua anaimbwa Sana trust me....
Mi Ni Yanga Ila napenda soka letu liwape na wazawa nafasi ya kufanya makubwa....
Hata mimi sijapenda badala nguvu waweke kwa wachezaji wafanye usajili wa kueleweka wao wanaziba sehemu ambazo hazina shida.Kwanini tunamdharau Mgunda? Kaikuta timu katikati ya Ligi kaipeleka mpaka makundi ya CAF viongozi wetu wapuuzi sana
🤣🤣🤣😅😆hawa waswahili wakiweka mikono mfukoni ujue wanashika irizii..sio wakuaminika.Timu imezidiwa, yeye kaweka tu mikono mifukoni. Mfano ile sare ya kmc mbili mbili tena taifa,
kocha msaidizi, swali lingine??Na Mgunda Jee?
Anadharauliwaje?Kwanini tunamdharau Mgunda? Kaikuta timu katikati ya Ligi kaipeleka mpaka makundi ya CAF viongozi wetu wapuuzi sana
kocha msaidizi namba 3,swali lingine??Na Matola? Hao watakua kina nani?
kwanini ushauri huu hujampa cedric kaze pale UTOPOLO???Yaaan Timu zetu hizi kubwa bila kuwa na makocha weupe wanaona bado kabisa..
Mgunda nawe amsha tafuta Timu chap, usibaki hapo kama msaidizi
ni makocha wasaidizi, swali lingine?Hatma ya mwanetu Matola na Pep mnene ikoje?