Simba SC sasa ina profile kubwa sana Afrika na Duniani

Simba SC sasa ina profile kubwa sana Afrika na Duniani

Ndugu mbumbumbu kusema Simba kubwa akuhitaji maandiko na kelele.
Timu zote kubwa zinajitambulisha na Makombe.
Yanga ni kubwa Tanzania na inajipambanua kwa Makombe mbalimbali iliyo ya beba na uhitaji kelele wala maandiko katika ilo.
Kama hujui rank nini hata Eswatin kuna timu kule ina makombe kila mwaka
Welewa wako ni Bites ngapi?
 
Profile hukohuko lakini kunyanyua kwapa msahau na kichapo kwa mara ya tano na sita na saba kiko palepale.. kwasababu ya kupata hivyo vi rank ndo mwajikuta wakubwa sasa itafahamika ukubwa ni uwanjani ama ni rank!.
Kama kweli wewe ni mdau au shabiki wa soka basi hupaswi kudharau ranks za kisoka.
Kifungwa mara Tano haiipi timu rank za kimataifa.
 
Sisi viongozi wenu tumeyapokea maoni yenu,tutayafanyia kazi..Tunachoomba kutoka kwenu mashabiki mzidi kuipa support Timu yenu
 
Yaani Mpira auna Mbamba, ukijiita wewe Mkubwa watu Wana angalia profile yako.
Sasa profile inaonyesha Simba aina kikombe chochote Afrika ata kwenye Ligi yake imeachwa mbali na Bingwa wa ki historia Young Afrika.
Yanga na Simba zinabaki kua klabu zinazo jaribu kutaka kuleta Changamoto katika mpira wa Afrika ila si klabu kubwa.
Klabu zote kubwa zinatambulishwa na Mataji.
Bora ya Yanga maana ni juzi tu walicheza fainali lakini ata ao Yanga Bado awajiiti wakubwa kwakua kanuni za ukubwa zina kataa.

Ao Al Hilal Ondurman waliocheza fainal, nusu, robo mara nyingi zaidi kuliko klabu za Tanzania awajiiti wakubwa itakuja kuwa Mbumbumbu fc!!
Simba itabaki na umaarufu tu katika zone 5 kama ilivyo Yanga na Si ukubwa.
Timu kubwa aihitaji kumwaga viloba Saba vya chumvi ya Mawe, Shehe wa Mkoa wa DAR, Mtume na Nabii Mwamposa uku wachezaji wakipakwa mafuta ya upako kabla ya mechi ili timu ivuke kucheza nusu baada ya miaka 51 Tangu ifike hatua iyo.

Timu kubwa imetandikwa mara 4 Mfulululizo na mtani wake wa jadi katika ligi kuu mpaka inafikia muda wakikutana Wana kimbia mechi.
Ujinga,upumbavu,wivu na kiherehere...Vijana Aina yako hawana mchango kwa Taifa
 
Hii ni kufika tu nusu fainal tambo zote hizi, je mngechukua kombe kama kina Tp Mazembe waliochukua zaidi ya mara 3 ingekuwaje🤣🤣🙌🙌
Hizo tambo sio za nusu ni za kuwa wa4 rank za CAF
 
Kwa nafasi iliyofika kama klabu ya nne kwa ubora Afrika, Simba SC sasa ina profile kubwa isiyopingika wala kuwa na ubishi katika mpira wa Afrika na duniani.

Rai yangu kwa wachezaji, viongozi na mashabiki walitambue hili na walilinde kwa nguvu zao zote. Sasa hivi timu zitakuwa zinaikamia Simba lakini pia Simba itakuwa na faida ya kuwapa woga kila anayekutana naye. Hili tayari lilikuwepo ila linaenda kuongezeka mara dufu.

Msiwasikilize wanaokebehi kuwa Simba haina cha kujivunia, sijui haina mataji. Mashabiki wa Simba hawatakiwi kuendelea kubishana na vikaragosi.

Kwanza kuweza kufika pale juu bila kwanza kuwa bingwa ni jambo la kujivunia sana. Inaonyesha timu ina muendelezo mzuri na siyo ngekewa au fluku.

Oneni jinsi mashabiki wa Wydad na Esperance wanavyodata na kuwasakama viongozi wao kwa sababu ya timu zao kutetereka kidogo tu na hawa wana mataji ya kujivunia.

Ni muhimu sasa kila kitu pale Simba kifanywe kulingana na ukubwa wetu, ndani hadi nje ya uwanja. Tujenge miundombinu ya kisasa, tuboreshe kikosi kiwe bora zaidi na viongozi waendeshe timu kisasa.

Nguvu na focus sasa ielekezwe kwenye kutafuta Ubingwa wa Africa, kuitafuta top 3 na kubaki hapo na kushiriki mashindano na mabonanza mengi nje ya Africa ili kukuza brand ya Simba. Ni wakati wa kwenda next level.
Hilo la kujadili Simba ni bora au sio bora tuwaachie Utopolo.

Sisi tujualo ni moja tu. SIMBA NI BORA AFRIKA ipo nafasi ya 4.

Anaebisha aiondoe namba 4 kwenye hesabu😎😎😎😎
 
Hii ni kufika tu nusu fainal tambo zote hizi, je mngechukua kombe kama kina Tp Mazembe waliochukua zaidi ya mara 3 ingekuwaje🤣🤣🙌🙌
Nani kakwambia hatuchukui sasa😎
 
Kushabikia Simba ni raha kuliko kunywa maji....
 
Ikiwa Simba ni klabu kubwa hapa Afrika basi soka la Afrika lina safari ndefu kufikia mafanikio halisi.
 
Back
Top Bottom