Simba SC sasa ina profile kubwa sana Afrika na Duniani

Kwa nafasi iliyofika kama klabu ya nne kwa ubora Afrika, Simba SC sasa ina profile kubwa isiyopingika wala kuwa na ubishi katika mpira wa Afrika na duniani.

Rai yangu kwa wachezaji, viongozi na mashabiki walitambue hili na walilinde kwa nguvu zao zote. Sasa hivi timu zitakuwa zinaikamia Simba lakini pia Simba itakuwa na faida ya kuwapa woga kila anayekutana naye. Hili tayari lilikuwepo ila linaenda kuongezeka mara dufu.

Msiwasikilize wanaokebehi kuwa Simba haina cha kujivunia, sijui haina mataji. Mashabiki wa Simba hawatakiwi kuendelea kubishana na vikaragosi.

Kwanza kuweza kufika pale juu bila kwanza kuwa bingwa ni jambo la kujivunia sana. Inaonyesha timu ina muendelezo mzuri na siyo ngekewa au fluku.

Oneni jinsi mashabiki wa Wydad na Esperance wanavyodata na kuwasakama viongozi wao kwa sababu ya timu zao kutetereka kidogo tu na hawa wana mataji ya kujivunia.

Ni muhimu sasa kila kitu pale Simba kifanywe kulingana na ukubwa wetu, ndani hadi nje ya uwanja. Tujenge miundombinu ya kisasa, tuboreshe kikosi kiwe bora zaidi na viongozi waendeshe timu kisasa.

Nguvu na focus sasa ielekezwe kwenye kutafuta Ubingwa wa Africa, kuitafuta top 3 na kubaki hapo na kushiriki mashindano na mabonanza mengi nje ya Africa ili kukuza brand ya Simba. Ni wakati wa kwenda next level.
Shida mashabiki ndio wenye mipango ya mafanikio lakini wanaojua uchumi wa club ni viongozi
 
Bora ukose hata mikono lkn uwe na akili. Huko Yangwa sjui mkifika akili zinamezwa na zimwi gani? Au suppu za Makafara mnazopewa zimeondoa akili zenu zote. Jiangalieni sana ndugu zetu mmekuwa watu wa hovyo haswaa
Ndugu mbumbumbu kusema Simba kubwa akuhitaji maandiko na kelele.
Timu zote kubwa zinajitambulisha na Makombe.
Yanga ni kubwa Tanzania na inajipambanua kwa Makombe mbalimbali iliyo ya beba na uhitaji kelele wala maandiko katika ilo.
 
Yaani Mpira auna Mbamba, ukijiita wewe Mkubwa watu Wana angalia profile yako.
Sasa profile inaonyesha Simba aina kikombe chochote Afrika ata kwenye Ligi yake imeachwa mbali na Bingwa wa ki historia Young Afrika.
Yanga na Simba zinabaki kua klabu zinazo jaribu kutaka kuleta Changamoto katika mpira wa Afrika ila si klabu kubwa.
Klabu zote kubwa zinatambulishwa na Mataji.
Bora ya Yanga maana ni juzi tu walicheza fainali lakini ata ao Yanga Bado awajiiti wakubwa kwakua kanuni za ukubwa zina kataa.

Ao Al Hilal Ondurman waliocheza fainal, nusu, robo mara nyingi zaidi kuliko klabu za Tanzania awajiiti wakubwa itakuja kuwa Mbumbumbu fc!!
Simba itabaki na umaarufu tu katika zone 5 kama ilivyo Yanga na Si ukubwa.
Timu kubwa aihitaji kumwaga viloba Saba vya chumvi ya Mawe, Shehe wa Mkoa wa DAR, Mtume na Nabii Mwamposa uku wachezaji wakipakwa mafuta ya upako kabla ya mechi ili timu ivuke kucheza nusu baada ya miaka 51 Tangu ifike hatua iyo.

Timu kubwa imetandikwa mara 4 Mfulululizo na mtani wake wa jadi katika ligi kuu mpaka inafikia muda wakikutana Wana kimbia mechi.
Afya ya akili ni kweli ipo jamani
Watia huruma😄😄😄😄😄
Kweli Yanga wenye akili wawili tu
 
Afya ya akili ni kweli ipo jamani
Watia huruma😄😄😄😄😄
Kweli Yanga wenye akili wawili tu
Kwenye Afya ya akili Rage Alisha maliza katika mkutano mkuu wa Mwaka wa Simba pale Police officer's Mess alisema Wana Simba wanakabikiwa na chngamoto ya u mbumbumbu.
 
Kwa nafasi iliyofika kama klabu ya nne kwa ubora Afrika, Simba SC sasa ina profile kubwa isiyopingika wala kuwa na ubishi katika mpira wa Afrika na duniani.

Rai yangu kwa wachezaji, viongozi na mashabiki walitambue hili na walilinde kwa nguvu zao zote. Sasa hivi timu zitakuwa zinaikamia Simba lakini pia Simba itakuwa na faida ya kuwapa woga kila anayekutana naye. Hili tayari lilikuwepo ila linaenda kuongezeka mara dufu.

Msiwasikilize wanaokebehi kuwa Simba haina cha kujivunia, sijui haina mataji. Mashabiki wa Simba hawatakiwi kuendelea kubishana na vikaragosi.

Kwanza kuweza kufika pale juu bila kwanza kuwa bingwa ni jambo la kujivunia sana. Inaonyesha timu ina muendelezo mzuri na siyo ngekewa au fluku.

Oneni jinsi mashabiki wa Wydad na Esperance wanavyodata na kuwasakama viongozi wao kwa sababu ya timu zao kutetereka kidogo tu na hawa wana mataji ya kujivunia.

Ni muhimu sasa kila kitu pale Simba kifanywe kulingana na ukubwa wetu, ndani hadi nje ya uwanja. Tujenge miundombinu ya kisasa, tuboreshe kikosi kiwe bora zaidi na viongozi waendeshe timu kisasa.

Nguvu na focus sasa ielekezwe kwenye kutafuta Ubingwa wa Africa, kuitafuta top 3 na kubaki hapo na kushiriki mashindano na mabonanza mengi nje ya Africa ili kukuza brand ya Simba. Ni wakati wa kwenda next level.
Mnapata wapi ujasiri wa kujiita wakubwa wakati hata kombe la mbuzi hamna, hizo rank sio kitu cha kudumu, pamoja na kuwazidi kwenye rank timu kama Tp mazembe wydad, raja Casablanca na na young African lakini Simba bado ni katoto tena kajinga kwa hizi timu kwani mafanikio ya timu hupimwa kwa vikombe ulivivyo vibeba na sio huo ushuzi wenu wa rank, na ndio sababu pamoja na kuizidi yanga kwenye rank za CAF likini mkikutana uwanjani mnachezea vipigo mpaka mmefikia hatua yakua mnatoka nduki, lakini siwezi kuwashangaa sababu nyie ni mbumbu fc a.k.a makolo
 
Kwa nafasi iliyofika kama klabu ya nne kwa ubora Afrika, Simba SC sasa ina profile kubwa isiyopingika wala kuwa na ubishi katika mpira wa Afrika na duniani.

Rai yangu kwa wachezaji, viongozi na mashabiki walitambue hili na walilinde kwa nguvu zao zote. Sasa hivi timu zitakuwa zinaikamia Simba lakini pia Simba itakuwa na faida ya kuwapa woga kila anayekutana naye. Hili tayari lilikuwepo ila linaenda kuongezeka mara dufu.

Msiwasikilize wanaokebehi kuwa Simba haina cha kujivunia, sijui haina mataji. Mashabiki wa Simba hawatakiwi kuendelea kubishana na vikaragosi.

Kwanza kuweza kufika pale juu bila kwanza kuwa bingwa ni jambo la kujivunia sana. Inaonyesha timu ina muendelezo mzuri na siyo ngekewa au fluku.

Oneni jinsi mashabiki wa Wydad na Esperance wanavyodata na kuwasakama viongozi wao kwa sababu ya timu zao kutetereka kidogo tu na hawa wana mataji ya kujivunia.

Ni muhimu sasa kila kitu pale Simba kifanywe kulingana na ukubwa wetu, ndani hadi nje ya uwanja. Tujenge miundombinu ya kisasa, tuboreshe kikosi kiwe bora zaidi na viongozi waendeshe timu kisasa.

Nguvu na focus sasa ielekezwe kwenye kutafuta Ubingwa wa Africa, kuitafuta top 3 na kubaki hapo na kushiriki mashindano na mabonanza mengi nje ya Africa ili kukuza brand ya Simba. Ni wakati wa kwenda next level.
Mijamaa ya utopolo Itakubishia😎
 
Profile hukohuko lakini kunyanyua kwapa msahau na kichapo kwa mara ya tano na sita na saba kiko palepale.. kwasababu ya kupata hivyo vi rank ndo mwajikuta wakubwa sasa itafahamika ukubwa ni uwanjani ama ni rank!.
Pole, jifute kinyesi ulale. Maana si kwa ndoto zako za kujinyea.
 
Profile hukohuko lakini kunyanyua kwapa msahau na kichapo kwa mara ya tano na sita na saba kiko palepale.. kwasababu ya kupata hivyo vi rank ndo mwajikuta wakubwa sasa itafahamika ukubwa ni uwanjani ama ni rank!.

Al ahly ana makombe 12 ya CAF champion league.

Na ndiye anayeongoza kwa Afrika.

Huyu ukisema ni giant haina shida ni giant kweli.

Simba mna makombe mangapi?

Au u giant wenu unasababishwa na kufika robo fainali klabu bingwa na kufika nusu fainali shirikisho?

Takataka. Simba ana kitu gani cha kujivunia? Kufika kiwango huku ukiwa huna hata kikombe cha chai cha CAF ni ukubwa nao?. Hata makombe ya ndani tu umezidiwa. Nimeamini Kweli upande huo una mihemko ya milembe

Yaani Mpira auna Mbamba, ukijiita wewe Mkubwa watu Wana angalia profile yako.
Sasa profile inaonyesha Simba aina kikombe chochote Afrika ata kwenye Ligi yake imeachwa mbali na Bingwa wa ki historia Young Afrika.
Yanga na Simba zinabaki kua klabu zinazo jaribu kutaka kuleta Changamoto katika mpira wa Afrika ila si klabu kubwa.
Klabu zote kubwa zinatambulishwa na Mataji.
Bora ya Yanga maana ni juzi tu walicheza fainali lakini ata ao Yanga Bado awajiiti wakubwa kwakua kanuni za ukubwa zina kataa.

Ao Al Hilal Ondurman waliocheza fainal, nusu, robo mara nyingi zaidi kuliko klabu za Tanzania awajiiti wakubwa itakuja kuwa Mbumbumbu fc!!
Simba itabaki na umaarufu tu katika zone 5 kama ilivyo Yanga na Si ukubwa.
Timu kubwa aihitaji kumwaga viloba Saba vya chumvi ya Mawe, Shehe wa Mkoa wa DAR, Mtume na Nabii Mwamposa uku wachezaji wakipakwa mafuta ya upako kabla ya mechi ili timu ivuke kucheza nusu baada ya miaka 51 Tangu ifike hatua iyo.

Timu kubwa imetandikwa mara 4 Mfulululizo na mtani wake wa jadi katika ligi kuu mpaka inafikia muda wakikutana Wana kimbia mechi.

Mpaka itakapokubalia kuleta team na kusemyentwa na Yanga

Ndugu mbumbumbu kusema Simba kubwa akuhitaji maandiko na kelele.
Timu zote kubwa zinajitambulisha na Makombe.
Yanga ni kubwa Tanzania na inajipambanua kwa Makombe mbalimbali iliyo ya beba na uhitaji kelele wala maandiko katika ilo.
"Mashabiki wa Simba hawatakiwi kuendelea kubishana na vikaragosi".

Nimestaafu rasmi kubishana na mashabiki wa vitimu vidogo vidogo.
 
Yanga huwa hashindi kwa ubora ila mpaka ahonge wachezaji wa Simba,na marefa hilo lipo wazi...
Kolo kama kolo, robo fainali ya shirikisho tu kombe la kina mama mmecheza na Namungo ya misiri mmekusanya wachawi kama wote ndio mkapita tena kwa mikwaju ya penati, upuuzi mtupu, kwa ufupi simba sio timu ya mpira bali ni kikundi cha wachawi na wanganga wanaogaribu soka la Africa
 
Yaani timu kubwa ili ushindi upatikane mpaka viloba vya chumvi ya mawe vimwagwe uwanjani, wachezaji wapakwe mafuta.
Yaani mwanaume unapakwa mafuta!!
 
Kwa nafasi iliyofika kama klabu ya nne kwa ubora Afrika, Simba SC sasa ina profile kubwa isiyopingika wala kuwa na ubishi katika mpira wa Afrika na duniani.

Rai yangu kwa wachezaji, viongozi na mashabiki walitambue hili na walilinde kwa nguvu zao zote. Sasa hivi timu zitakuwa zinaikamia Simba lakini pia Simba itakuwa na faida ya kuwapa woga kila anayekutana naye. Hili tayari lilikuwepo ila linaenda kuongezeka mara dufu.

Msiwasikilize wanaokebehi kuwa Simba haina cha kujivunia, sijui haina mataji. Mashabiki wa Simba hawatakiwi kuendelea kubishana na vikaragosi.

Kwanza kuweza kufika pale juu bila kwanza kuwa bingwa ni jambo la kujivunia sana. Inaonyesha timu ina muendelezo mzuri na siyo ngekewa au fluku.

Oneni jinsi mashabiki wa Wydad na Esperance wanavyodata na kuwasakama viongozi wao kwa sababu ya timu zao kutetereka kidogo tu na hawa wana mataji ya kujivunia.

Ni muhimu sasa kila kitu pale Simba kifanywe kulingana na ukubwa wetu, ndani hadi nje ya uwanja. Tujenge miundombinu ya kisasa, tuboreshe kikosi kiwe bora zaidi na viongozi waendeshe timu kisasa.

Nguvu na focus sasa ielekezwe kwenye kutafuta Ubingwa wa Africa, kuitafuta top 3 na kubaki hapo na kushiriki mashindano na mabonanza mengi nje ya Africa ili kukuza brand ya Simba. Ni wakati wa kwenda next level.
Kwahiyo!!?
 
Point to Consider
 
Profile hukohuko lakini kunyanyua kwapa msahau na kichapo kwa mara ya tano na sita na saba kiko palepale.. kwasababu ya kupata hivyo vi rank ndo mwajikuta wakubwa sasa itafahamika ukubwa ni uwanjani ama ni rank!.
Ukubwa na rank vinapatikana uwanjani kwenye michuano inayojumuisha timu kubwa kubwa.

Ukubwa hauji kwa kutwa ubingwa wa TZ na kuzifunga timu ndogo ndogo kama Vital'O au Zalan goli nyingi.
 
"Mashabiki wa Simba hawatakiwi kuendelea kubishana na vikaragosi".

Nimestaafu rasmi kubishana na mashabiki wa vitimu vidogo vidogo.
Timu ndogo ambayo imekupita idadi ya domestic cups huku wewe ukiwa hauna international cup inayoeleweka?
 
Yaani Mpira auna Mbamba, ukijiita wewe Mkubwa watu Wana angalia profile yako.
Sasa profile inaonyesha Simba aina kikombe chochote Afrika ata kwenye Ligi yake imeachwa mbali na Bingwa wa ki historia Young Afrika.
Yanga na Simba zinabaki kua klabu zinazo jaribu kutaka kuleta Changamoto katika mpira wa Afrika ila si klabu kubwa.
Klabu zote kubwa zinatambulishwa na Mataji.
Bora ya Yanga maana ni juzi tu walicheza fainali lakini ata ao Yanga Bado awajiiti wakubwa kwakua kanuni za ukubwa zina kataa.

Ao Al Hilal Ondurman waliocheza fainal, nusu, robo mara nyingi zaidi kuliko klabu za Tanzania awajiiti wakubwa itakuja kuwa Mbumbumbu fc!!
Simba itabaki na umaarufu tu katika zone 5 kama ilivyo Yanga na Si ukubwa.
Timu kubwa aihitaji kumwaga viloba Saba vya chumvi ya Mawe, Shehe wa Mkoa wa DAR, Mtume na Nabii Mwamposa uku wachezaji wakipakwa mafuta ya upako kabla ya mechi ili timu ivuke kucheza nusu baada ya miaka 51 Tangu ifike hatua iyo.

Timu kubwa imetandikwa mara 4 Mfulululizo na mtani wake wa jadi katika ligi kuu mpaka inafikia muda wakikutana Wana kimbia mechi.
Umeandika nini apa au umetumia mbege
 
Back
Top Bottom