Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.

Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona kabisa kuwa huwa anafanya Makusudi na Kudhamiria Kuichokonoa na Kutangaza Habari hasi (mbaya) kuihusu Klabu ya Simba.

Kwa mfano kwa Sisi Watu wa Michezo na wengine tuna bahati Kubwa ya kuwa na Marafiki Yanga SC, Azam FC, Simba SC, Namungo FC na hadi Mtibwa FC hivyo tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana) ila Mtangazaji Kitenge hayagusii.

Siishabikii Simba SC wala Yanga SC ila nadhani sasa imefikia muda Uongozi wa Simba SC utoe tamko lake Kali/ Zito Kwake Maulid Baraka Kitenge.
 
Kitenge mzoee tu anakula Pension. Kingine habari za Simba ndio zinauza sana hapa Tanzania, habari za Yanga SC zimepoa sana toka last week Simba inatawala headlines za michezo Tanzania na hii itakua mpaka mwezi ujao ni all about Simba, hivyo media houses nyingi zinataka maudhui yao yafuatiliwe zaidi (furaha ya Yanga inatokana na habari mbaya za Simba na sio timu yao, wasamehe tu)
 
Watu wa simba mnazingua
 
Simba imekuwa gumzo Afrika nzima, sasa inauza sana kwa vipimo feki vya covid dhidi ya timu pinzani.
 
Kitenge mzoee tu anakula Pension. Kingine habari za Simba ndio zinauza sana hapa Tanzania, habari za Yanga SC zimepoa sana toka last week Simba inatawala headlines za michezo Tanzania na hii itakua mpaka mwezi ujao ni all about Simba, hivyo media houses nyingi zinataka maudhui yao yafuatiliwe zaidi (furaha ya Yanga inatokana na habari mbaya za Simba na sio timu yao, wasamehe tu)
Ni kweli habari za Simba hazikwepeki mwezi huu na ujao. Clouds walijaribu kuzichunia wiki iliyopita habari za Simba lakini wameshindwa kwa sasa naona wanaziongelea kama kawaida.
 
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya ( negative ) tu ya Kuihusu Simba SC. Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano ( Body Language ) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona kabisa kuwa huwa anafanya Makusudi na Kudhamiria Kuichokonoa na Kutangaza Habari hasi ( mbaya ) kuihusu Klabu ya Simba.

Kwa mfano kwa Sisi Watu wa Michezo na wengine tuna bahati Kubwa ya kuwa na Marafiki Yanga SC, Azam FC, Simba SC, Namungo FC na hadi Mtibwa FC hivyo tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana ( Kuumizana ) ila Mtangazaji Kitenge hayagusii.

Siishabikii Simba SC wala Yanga SC ila nadhani sasa imefikia muda Uongozi wa Simba SC utoe tamko lake Kali / Zito Kwake Maulid Baraka Kitenge.
Mkuu hata nyakati za Masihi walikuwepo wapinga Kristo
Au nasema uongo ndg zangu
 
Kitenge mzoee tu anakula Pension. Kingine habari za Simba ndio zinauza sana hapa Tanzania, habari za Yanga SC zimepoa sana toka last week Simba inatawala headlines za michezo Tanzania na hii itakua mpaka mwezi ujao ni all about Simba, hivyo media houses nyingi zinataka maudhui yao yafuatiliwe zaidi (furaha ya Yanga inatokana na habari mbaya za Simba na sio timu yao, wasamehe tu)
Sio mpaka mwezi ujao mpaka hatua ya makundi ipite ndio kidogo watapumua
 
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC. Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona kabisa kuwa huwa anafanya Makusudi na Kudhamiria Kuichokonoa na Kutangaza Habari hasi (mbaya) kuihusu Klabu ya Simba.

Kwa mfano kwa Sisi Watu wa Michezo na wengine tuna bahati Kubwa ya kuwa na Marafiki Yanga SC, Azam FC, Simba SC, Namungo FC na hadi Mtibwa FC hivyo tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana) ila Mtangazaji Kitenge hayagusii.

Siishabikii Simba SC wala Yanga SC ila nadhani sasa imefikia muda Uongozi wa Simba SC utoe tamko lake Kali/ Zito Kwake Maulid Baraka Kitenge.
Ni kweli Kitenge ni mshabiki mkubwa wa Utopolo na huwa anatafuta hbari za simba kuzifanya mbaya ili kuwavuruga mashabiki?
Sasa hadi umeandika amefanya nini tena? Maana tunashindwa hata kumjadili
 
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.

Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona kabisa kuwa huwa anafanya Makusudi na Kudhamiria Kuichokonoa na Kutangaza Habari hasi (mbaya) kuihusu Klabu ya Simba.

Kwa mfano kwa Sisi Watu wa Michezo na wengine tuna bahati Kubwa ya kuwa na Marafiki Yanga SC, Azam FC, Simba SC, Namungo FC na hadi Mtibwa FC hivyo tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana) ila Mtangazaji Kitenge hayagusii.

Siishabikii Simba SC wala Yanga SC ila nadhani sasa imefikia muda Uongozi wa Simba SC utoe tamko lake Kali/ Zito Kwake Maulid Baraka Kitenge.
Malalamiko yako yamekaa kihisia zaidi. Huna ushahidi wowote ule unao jitosheleza!

Kama ingekuwa ni mahakamani, basi malalamiko yako yangetupiliwa mbali na Mheshimiwa Hakimu.
 
Tunakuomba utende haki mhe.Hakimu ikiwezekana shauri hili lirudiwe
 
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.

Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona kabisa kuwa huwa anafanya Makusudi na Kudhamiria Kuichokonoa na Kutangaza Habari hasi (mbaya) kuihusu Klabu ya Simba.

Kwa mfano kwa Sisi Watu wa Michezo na wengine tuna bahati Kubwa ya kuwa na Marafiki Yanga SC, Azam FC, Simba SC, Namungo FC na hadi Mtibwa FC hivyo tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana) ila Mtangazaji Kitenge hayagusii.

Siishabikii Simba SC wala Yanga SC ila nadhani sasa imefikia muda Uongozi wa Simba SC utoe tamko lake Kali/ Zito Kwake Maulid Baraka Kitenge.
tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana)

Una proof na ulichokisema hapo juu mkuu?
 
Mijitu mingine akili yao hovyo wewe umejuaje kuwa Yanga kuna fukuto tatu una ushahidi gani hivi na wewe ukiitwa mchochezi kama unavyodai kwa Kitenge basi mpelekeni msena hovyo Manara akawapambe simba maana mnapenda sifa msiostahili
 
Back
Top Bottom