Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,084
- 3,726
Hapo vipi?
Naomba nichukue fursa hii kuishauri Simba SC iazishe vyombo vyake vya habari kama television na redio...
Sababu
1. Kwanza Simba SC ni timu kubwa namba 1 na bora Tanzania, Afrika Mashariki na kati.
2. Siasa imeingia kwenye mpira hivyo kuna baadhi ya waandishi wa habari makanjanja, akili ndogo, na wenye njaa kali wanaonunuliwa Laptop ili kupotosha habari za Simba SC na kuipa airtime(kuitetea timu ndogo kwa kutumia vyombo vya habari)
3. Simba SC ni club kubwa Afrika na Duniani kuliko vilabu vyote Afrika mashariki na kati.
4.Simba SC ni club tajiri na inapesa sana hivyo inaweza kumiliki vyombo hivi.
5. Simba ndio mfalme wa soko Afrika mashariki na kati, TFF, CUF na FIFA wamedhibitisha pasipo shaka.
6. Simba SC inapigwa vita ya kisiasa Tanzania na mambo ya ya mpira ni mambo ya kitaalam, mpira haitaji siasa (asili ya ngozi nyeusi huwa inapinga vitu bora na vizuri, wanawachukia waliofanikiwa, ndio maana wafrika ni maskini Duniani)
NB: Nipo tayari kuitumikia Simba kwa nafasi ya Try Again bure kwasababu Try Again na Mangungu sio wazalendo wa Simba SC ila ni mamluki.
Nina uwezo wa Kufanya vizuri mara 1000 ya Try Again.