SIMBA Sc na MAFISADI dam dam

Ufisadi uliokuwepo TZ, si Simba peke yake hata Yanga tu. Ufisadi ni cancer inayosambasazwa na CCM na Serikali yake. Viongozi wengi tu wa vilabu ni CCM, na hao ndiyo wanaosambaza hizo aidia za UFISADI. Ukienda kwenye vyama vya upinzani ndivyo hivyo; viongozi wao wengi tu wametoka CCM. CCM ni cancer ya UFISADI inayotambaa kila kona ya TZ. Kwa hiyo, hatutakuwa na viongozi bora kwa muda mrefu sana; labda miaka 300 inayokuja.
 
...Mzee Samuel Sitta ni mwanachama, tena miongoni mwa walezi wa miaka mingi wa klabu ya Simba, pamoja na Profesa Phillemon Sarungi.

Sioni ajabu kualikwa, ni sawa na Yanga wakimwalika mnazi wao namba moja Jakaya wa Kikwete.
 
Mwanaspoti Mbu!!!

Huyo GT achana nae, anataka kuchanganya kila kitu na siasa, amesahau jukwaa hili ni la spoti na starehe!!!

Naona dalili ya kuchafua hewa tayari
 
Kama ni ufisadi ni YANGA na si klabu nyingine yoyote. Yusuf Manji ndiye anayeiendesha kwa ufadhili wa kila kitu ambaye tunamjua vizuri ufisadi wake ambao unaathiri Watanzania wote. Simba inaendeshwa kwa michango ya wanachama na si tajiri mmoja anayejitahidi kusafisha fedha kupitia Yanga....
 
Njano & kijani = ccm,
yanga = kijani & njano,
ccm= ufisadi
.
. . Yanga = ufisadi
 
Uwanja wa kaunda unajengwa kwa pesa za EPA, na Yanga inamtegemea Manji ambaye ni mwizi nambari moja nchini...
 
Wapi papaa Kassim Dewji,wapi mukuru Aveva, Wapi Mulamu Ng'ambi,wapi Pedeshee Msafiri Mgoyi,Wapi Kaburu, Wapi mpiganaji Hasanoo,wapi Batenga,Kazimoto na Masabala,wapi Friends of Simba muje ku jamvi la JF muitetee Simba yenu muipendayo,mbona inaonewa na kudhalilishwa na nyie vingunge mpo?
 
Sisi Yanga tunajua fika kuwa SIMBA sc siku zote wao wanalala kitanda kimoja na Mafisadi na ushahidi huhitaji kwenda mbali....

wameamua kumwalika spika ambaye anatuhumiwa na kashfa za ufisadi kwenye shughuli zao

Hawa jamaa naona dawa ni kurudi waliko toka....YANGA

Soma hapa:

http://issamichuzi.blogspot.com/2009....html#comments

ha ha Sikutegemea kama kaka GT unaweza kuandika hiki kitu, any way siku huwa hazifanani
 
http://issamichuzi.blogspot.com/2009/08/spika-mgeni-rasmi-tamasha-la-simba.html#comments

hahaha..mkuu GT sasa hivi mtu kama Msekwa, Makamba na Rostam hamuwezi kuwaalika wana Yanga kwa sababu hali sio nzuri jikoni maana badala ya moshi mweupe ule wa Italy sasa hivi kuna moshi wa Brown
 
Uwanja wa kaunda unajengwa kwa pesa za EPA, na Yanga inamtegemea Manji ambaye ni mwizi nambari moja nchini...
safi na mkuu hapo tuko pamoja...Kama uwanja + Jengo la Yanga limekalabatiwa kwa pesa za EPA inaimanisha ni jengo letu yani watanzania wote (simba, manyema, AFC,maji maji,kagera suger,pamba.......nk) manji aliingia yanga kujificha na ufisadi..
 
Sisi Yanga tunajua fika kuwa SIMBA sc siku zote wao wanalala kitanda kimoja na Mafisadi na ushahidi huhitaji kwenda mbali....

wameamua kumwalika spika ambaye anatuhumiwa na kashfa za ufisadi kwenye shughuli zao

Hawa jamaa naona dawa ni kurudi waliko toka....YANGA

Soma hapa:

http://issamichuzi.blogspot.com/2009....html#comments

ha ha Sikutegemea kama kaka GT unaweza kuandika hiki kitu, any way siku huwa hazifanani
Ndiyo alivyo kama huamini soma kitu alicho kiandika siku Mabomu ya Mbagala yalipolipuka..
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/28033-april-09-bomb-blasts-in-dar-5.html
 
Mwanaspoti Mbu!!!

Huyo GT achana nae, anataka kuchanganya kila kitu na siasa, amesahau jukwaa hili ni la spoti na starehe!!!

Naona dalili ya kuchafua hewa tayari
GT ni mwanaspoti ,ndiye alianzisha forum ya Arsenal kaaamua kususa
 
GT ni mwanaspoti ,ndiye alianzisha forum ya Arsenal kaaamua kususa

Ni Mwanaspoti haswaa, ila nadhani siasa anaileta hadi jamvi jingine... ila tusipoangalia ataingiza ya Mhe. Sitta, Zadock nk. hadi kwenye thread za Arsenal na hii hapa

Nimempinga kwasababu mie ni simba damu na si vinginevyo
 
Sisi Yanga tunajua fika kuwa SIMBA sc siku zote wao wanalala kitanda kimoja na Mafisadi na ushahidi huhitaji kwenda mbali....

[/url]

Mkuu najua kuna mtu ulitaka kumtaja sasa umezuga kwa kuanzia na surname lakini jina lake la kwanza umezuga kwa herufi ndogo ili uwasingizie wazee wa msimbazi. Si bora ulianzishe tu.......!
 
Sisi Yanga tunajua fika kuwa SIMBA sc siku zote wao wanalala kitanda kimoja na Mafisadi na ushahidi huhitaji kwenda mbali....

wameamua kumwalika spika ambaye anatuhumiwa na kashfa za ufisadi kwenye shughuli zao

Hawa jamaa naona dawa ni kurudi waliko toka....YANGA

Soma hapa:

http://issamichuzi.blogspot.com/2009/08/spika-mgeni-rasmi-tamasha-la-simba.html#comments

Wewe unachekesha sana! Yanga ndio klabu inayoongoza kwa kulala kitanda kimoja na mafisadi, na inaendeshwa na fedha chafu za kinara wa mafisadi, YUSUF MANJI! Halafu huo ufisadi wa Spika Sitta ni upi? Mbona unakurupuka? Acha hizo wewe YEBO YEBO!
 
AHHH si SITA huyu na ADEN RAGE walipokuwa CDA walitumia pesa za CDA kuipeleka SIMBA BRASIL!!!!!
 
Jamaa mtoa mada umefika pabaya kuhusisha Simba na ufisadi,
Simba sio mafisadi wao ni mpira tu.
Toa mada nyingine sio Simba
 
Ni ushabiki au!! kama ni ufisadi,basi Yanga inaendeshwa kwa fedha za kifisadi kwa miaka mitatu sasa.ni aibu na ni aibu kubwa kwa klabu kubwa kama yanga kutumika kama dodoki la kusafishia fedha chafu za YUSUPH MANJI.
Afadhali Simba wanaoendeshwa na michango ya wanachama(hata kama miongoni mwao ni mafisadi dagaa) lakini timu haiwezi kubebeshwa mzigo wa ufisadi kama ilivyo kwa yanga....Ni kwamba umeshasahau jinsi mmoja wa wanazi wa Yanga mzee REGINALD MENGI,mlivyomshambuli na kumkejeli kuwa AMEFULIA na akome kumuita mume wenu MANJI kuwa ni fisadi??? Yanga mlituaibisha wapenda soka na wazalendo wa nchi hii kwa kumtetea MANJI eti kisa anawafadhili
 
Back
Top Bottom