DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Ulipata japo kibarua?MAMBO 20 USIYOYAJUA KUHUSU SIMBA SPORTS CLUB
9 years ago
1. Simba ndiyo timu ya kwanza nchini kupanda ndege na hii ilikuwa mwaka 1963 tena wakati huo taifa la Tanzania halikuwa limeundwa, ilikwenda Ethiopia kwa mwaliko wa rais wa taifa hilo Haile Selassie.
2. Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa jezi na hii ilikuwa 1938 ilipocheza na kombaini ya mabaharia wa meli zilizotia nanga kwenye bandari ya Dar es salaam.
3. Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa viatu nchini na hii ilikuwa1949 ilipocheza na kombaini ya jeshi la majini Navy ya Afrika Kusini.
4. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwa na basi lake yenyewe na hili lilinuliwa mwaka1968.
5. Simba ndiyo timu ya kwanza kumiliki jengo lake lenyewe na hili lilizinduliwa 1971.
6. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwa bingwa wa ligi kuu nchini1966.
7. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwakilisha nchi na hii ilikuwa 1967.
8. Simba klabu ya kwanza nchini kwenda Ulaya na hii ilikuwa 1974 ilipokwenda Poland
9. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwa mabingwa wa Afrika Mashariki na kati na hii ilikuwa 1974.
10.Simba ndio mabingwa wa kihistoria wa Afrika Mashariki na Kati, ndiyo timu iliyochukua ubingwa mara nyingi kuliko klabu yeyote Afrika Mashariki na Kati (Champs off all time.)
11.Simba ndiyo timu pekee nchini iliyowahi kufika nusu fainali ya klabu bingwa Afrika na hii ilikuwa1974.
12.Simba ndiyo timu pekee nchini na Afrika Mashariki kufika fainali ya kombe la Caf na hii ilikuwa1993.
13.Simba ndio timu inayoshikilia rekodi Afrika kama si duniani kwa kufungwa na Mufurila Wonderers ya Zambia magoli 4-0 na kwenda kuibamiza 5-0 kwao, mbele ya Rais wao Kenneth Kaunda.
Hii haijafanywa na klabu yeyote Afrika na nina mashaka duniani, hii ilikuwa 1979.
14.Simba ilicheza katik hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika 2003 kwa mafanikio makubwa kulinganisha na timu yoyote nchini.
15.Simba ndiyo timu pekee kuivua ubingwa klabu bingwaAfrika nadi Zamalek hii ilikuwa pia 2003.
16.Simba ndiyo klabu pekee nchini kuzifunga timu zote za mataifa ya kiarabu kuanziaยท Waliowatoa mwaka jana Etoile du Sahel (Tunisia)ยท
Widad Casablanca (Morocco)ยท
El Setif (Algeria)ยท
El Harach (Algeria)
halaf tumezifunga timu zote kubwa za Misri Zamelek,Al Ahly, Arab Contractors, Ismailia, Mehala, Al kubra na timunyingine mnajua huwa inafanywaje ikigusa kule.
Pia imeshaitoa El Merekh ya Sudan 1994 katak klabu bingwa ya Afrika.
Simba pia imeshazifunga miamba ya Afrika Magharibi kuanzia Asec, Asante Kotoko, Hafia ya Guinea hata mabingwa wa kihistoria wa Zambia Nkana Red Devils.
17. Tukirudi juu Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa suti na hii ilikuwa 1974 ilipokwenda Poland.
18.Simba ndiyo klabu pekee nchini kujenga jengo lake yenyewe kwa nguvu za wanachama na mashabiki, wenzetu ni mkopo na msaada toka kwa mzee Karume100%, Simba ilipewa kiasi flan na mzee karume baada ya jengo kukamilika na hii ilikuwa mwanzoni mwamiaka ya 70.
19.Angalia idadi ya wachezaji wa Simba walioenda Ulaya kucheza soka la kulipwa.ยท Nico Njoholeยท Deo Njoholeยท Kassim Matituยท George Kulagwa
Huku ikiwa na makumi ya nyota wake kadhaa waliowahI kutapakaa sehemu mbalimbali duniani.
Nikutajie wachache.ยท Khalid Abeidยท Haidar Abeidยท Martin Kikwaยท Athman Mambosasaยท Zamoyoni Mogellaยท Hamis Gagaยท Lilla Shomariยท Iddi Paziยท Kiwelu Mussaยท George Masatuยท Hussein masha na wengine wengi.bila kumsahau nguli wa sasa mbwana samata.mutoto ya msimbazi.
Na hapa kumbukumbu zikae vizuri , Sunday na Kassim Manara wakati wanaenda kucheza Ulaya hawakuwa wachezaji wa Yanga, walikuwa wakicheza Pan African.
20. Nimalizie kwa kuwaambia FIFA ilizitaja timu bora za karne kwa kila nchi kwa Tanzania Simba ilitajwa ndio timu bora ya karne na wenye mpira wao FIFA.
Nenda kwenye rekodi za Caf ndio utajua nani wa kimataifa bainaya Simba na wengine.
Simba ndio klabu bora ya muda wote Tanzania (best club of all time)
Source Capo delgado
Ndo maana hupati kaziSitaki kuongelea simba Day.
Kuanzisha kuuza Jersey.
Kuvaa jersey za mashindano ya kimataifa.
Sitaki kuwaambia Kucheza mbele ya Rais wa FIFA.
Sitaki kuwaambia kuhusu Timu ya kwanza kucheza na VAR nk
Wazoefu wa MC AlgerMimi nikajua wamejenga viwanja vyao vya mpira kumbe ni kwenda tu kucheza mpira kwenye viwanja vya watu vilivyokarabatiwa.
Ninacho ona Simba wameitwa tu wacheze pale ili kama kuna mapungufu yaonekane na kurekebishwa kabla ya wazoefu na WABABE WA SOKA TANZANIA (Young African) hawajafika kutandaza soka
hongera sana, natamani kuona mkeka wa Yanga piaMAMBO 20 USIYOYAJUA KUHUSU SIMBA SPORTS CLUB
9 years ago
1. Simba ndiyo timu ya kwanza nchini kupanda ndege na hii ilikuwa mwaka 1963 tena wakati huo taifa la Tanzania halikuwa limeundwa, ilikwenda Ethiopia kwa mwaliko wa rais wa taifa hilo Haile Selassie.
2. Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa jezi na hii ilikuwa 1938 ilipocheza na kombaini ya mabaharia wa meli zilizotia nanga kwenye bandari ya Dar es salaam.
3. Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa viatu nchini na hii ilikuwa1949 ilipocheza na kombaini ya jeshi la majini Navy ya Afrika Kusini.
4. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwa na basi lake yenyewe na hili lilinuliwa mwaka1968.
5. Simba ndiyo timu ya kwanza kumiliki jengo lake lenyewe na hili lilizinduliwa 1971.
6. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwa bingwa wa ligi kuu nchini1966.
7. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwakilisha nchi na hii ilikuwa 1967.
8. Simba klabu ya kwanza nchini kwenda Ulaya na hii ilikuwa 1974 ilipokwenda Poland
9. Simba ndiyo timu ya kwanza kuwa mabingwa wa Afrika Mashariki na kati na hii ilikuwa 1974.
10.Simba ndio mabingwa wa kihistoria wa Afrika Mashariki na Kati, ndiyo timu iliyochukua ubingwa mara nyingi kuliko klabu yeyote Afrika Mashariki na Kati (Champs off all time.)
11.Simba ndiyo timu pekee nchini iliyowahi kufika nusu fainali ya klabu bingwa Afrika na hii ilikuwa1974.
12.Simba ndiyo timu pekee nchini na Afrika Mashariki kufika fainali ya kombe la Caf na hii ilikuwa1993.
13.Simba ndio timu inayoshikilia rekodi Afrika kama si duniani kwa kufungwa na Mufurila Wonderers ya Zambia magoli 4-0 na kwenda kuibamiza 5-0 kwao, mbele ya Rais wao Kenneth Kaunda.
Hii haijafanywa na klabu yeyote Afrika na nina mashaka duniani, hii ilikuwa 1979.
14.Simba ilicheza katik hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika 2003 kwa mafanikio makubwa kulinganisha na timu yoyote nchini.
15.Simba ndiyo timu pekee kuivua ubingwa klabu bingwaAfrika nadi Zamalek hii ilikuwa pia 2003.
16.Simba ndiyo klabu pekee nchini kuzifunga timu zote za mataifa ya kiarabu kuanziaยท Waliowatoa mwaka jana Etoile du Sahel (Tunisia)ยท
Widad Casablanca (Morocco)ยท
El Setif (Algeria)ยท
El Harach (Algeria)
halaf tumezifunga timu zote kubwa za Misri Zamelek,Al Ahly, Arab Contractors, Ismailia, Mehala, Al kubra na timunyingine mnajua huwa inafanywaje ikigusa kule.
Pia imeshaitoa El Merekh ya Sudan 1994 katak klabu bingwa ya Afrika.
Simba pia imeshazifunga miamba ya Afrika Magharibi kuanzia Asec, Asante Kotoko, Hafia ya Guinea hata mabingwa wa kihistoria wa Zambia Nkana Red Devils.
17. Tukirudi juu Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa suti na hii ilikuwa 1974 ilipokwenda Poland.
18.Simba ndiyo klabu pekee nchini kujenga jengo lake yenyewe kwa nguvu za wanachama na mashabiki, wenzetu ni mkopo na msaada toka kwa mzee Karume100%, Simba ilipewa kiasi flan na mzee karume baada ya jengo kukamilika na hii ilikuwa mwanzoni mwamiaka ya 70.
19.Angalia idadi ya wachezaji wa Simba walioenda Ulaya kucheza soka la kulipwa.ยท Nico Njoholeยท Deo Njoholeยท Kassim Matituยท George Kulagwa
Huku ikiwa na makumi ya nyota wake kadhaa waliowahI kutapakaa sehemu mbalimbali duniani.
Nikutajie wachache.ยท Khalid Abeidยท Haidar Abeidยท Martin Kikwaยท Athman Mambosasaยท Zamoyoni Mogellaยท Hamis Gagaยท Lilla Shomariยท Iddi Paziยท Kiwelu Mussaยท George Masatuยท Hussein masha na wengine wengi.bila kumsahau nguli wa sasa mbwana samata.mutoto ya msimbazi.
Na hapa kumbukumbu zikae vizuri , Sunday na Kassim Manara wakati wanaenda kucheza Ulaya hawakuwa wachezaji wa Yanga, walikuwa wakicheza Pan African.
20. Nimalizie kwa kuwaambia FIFA ilizitaja timu bora za karne kwa kila nchi kwa Tanzania Simba ilitajwa ndio timu bora ya karne na wenye mpira wao FIFA.
Nenda kwenye rekodi za Caf ndio utajua nani wa kimataifa bainaya Simba na wengine.
Simba ndio klabu bora ya muda wote Tanzania (best club of all time)
Source Capo delgado
Imebaki miaka mingapi sasa hivi?
Nipo ibadani.Ndo maana hupati kazi
Hii imedhihisha umbumbumbu uliokaa kwenye hilo bichwa
Ulipata japo kibarua?
Au upo hapa jukwaani kuchambua Simba wakati huna hata hela ya mlo
Mkuu mbona matusi yameanza?Ndo maana hupati kazi
Hii imedhihisha umbumbumbu uliokaa kwenye hilo bichwa
๐๐๐ Huyo ni mtani wanguMkuu mbona matusi yameanza?
Au mafanikio ya Simba yamekuchoma na kukuuma kimtindo๐๐คฃ
Kipa kafa na beki kafa ila hata uwanja wa kusingiziwa hawana!
Suala la muda tuKipa kafa na beki kafa ila hata uwanja wa kusingiziwa hawana!
Hahaha ๐๐คฃ, eti ndo maana huna kazi.๐๐๐ Huyo ni mtani wangu
Huwa nampopoa ili kumnyima amani asitambe sana hapa jukwaani