Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,124 Reaction score 126,387 Feb 7, 2022 #441 SteveMollel said: Ingekuwa Yanga, thread ingetapakaa GSM anaharibu ligi. Sasa muwe mnatulia hivyohivyo. Click to expand... Nakazia Mkuu.
SteveMollel said: Ingekuwa Yanga, thread ingetapakaa GSM anaharibu ligi. Sasa muwe mnatulia hivyohivyo. Click to expand... Nakazia Mkuu.
Geranimo E K I A JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 3,254 Reaction score 5,392 Feb 7, 2022 #442 Shadeeya said: Hahahaaa. Hivyo hapo umechangamka eee? 🤣🤣🤣 Click to expand... Kama kawaida hapa natafuta ulinzi kujilinda na wananchi wenye hasira kali(na Shadeeya akiwemo) Maadui ni wengi kutoka mitaa ya jangwani. SIMBA NGUVU MOJA
Shadeeya said: Hahahaaa. Hivyo hapo umechangamka eee? 🤣🤣🤣 Click to expand... Kama kawaida hapa natafuta ulinzi kujilinda na wananchi wenye hasira kali(na Shadeeya akiwemo) Maadui ni wengi kutoka mitaa ya jangwani. SIMBA NGUVU MOJA
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,433 Reaction score 139,502 Feb 7, 2022 #443 Sasa Utopolo tunavamia uzi kulalamikia goli. Wengine hata mpira hatujatazama ila tunasikia tu sio halali
Sasa Utopolo tunavamia uzi kulalamikia goli. Wengine hata mpira hatujatazama ila tunasikia tu sio halali
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,124 Reaction score 126,387 Feb 7, 2022 #444 Troisième Ceil said: Kama kawaida hapa natafuta ulinzi kujilinda na wananchi wenye hasira kali(na Shadeeya akiwemo) Maadui ni wengi kutoka mitaa ya jangwani. SIMBA NGUVU MOJA Click to expand... 🤣 ulinzi huo kwiio. 🤣
Troisième Ceil said: Kama kawaida hapa natafuta ulinzi kujilinda na wananchi wenye hasira kali(na Shadeeya akiwemo) Maadui ni wengi kutoka mitaa ya jangwani. SIMBA NGUVU MOJA Click to expand... 🤣 ulinzi huo kwiio. 🤣