Simba s.c. Watumia uchawi dhidi ya Tusker F.c.

Simba s.c. Watumia uchawi dhidi ya Tusker F.c.

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,843
Reaction score
10,765
Wakuu taarifa za uhakika toka Zenji ni kuwa Simba imewaduwaza wapenzi na mashabiki wa soka visiwani kwa kuendekeza imani za kishirikina. Siku ya pambano na Tusker, waliingia kwa mstari mmoja, wakasimama kwenye kona mojawapo ya uwanja, ikarushwa mipira mitatu uwanjani, kisha wachezaji wakaingia kwa mstari uwanjani. Wakiwa uwanjani waliketi chini na kuanza kubadili soksi na viatu ndipo wakatoka kwa mstari kuelekea vyumba vya kubadilishia nguo. Ilibidi Tusker wabaki wamepigwa butwaa kwa mshangao na masikitiko.
 
hUWEZI KUJUA MCHAWI KAMA NA WEWE sio mchawi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom