Simba mara hii wameonesha wivu wa wazi wazi kwa Yanga

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliyopita kimewatesa sana wana Simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa Simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii.

Ubora wa Yanga hii na Simba kufungwa na Azam kumezidi kuibua chuki na hasira nyingi kwa mashabiki wa Simba dhidi ya timu ya Yanga

Mifano ipo hai hata humu humu JF jukwaa la michezo someni hizo mada, utaona nyingi ni Simba wakiisema vibaya na kuiombea mabaya Yanga!

Mechi iliyoisha Yanga alitoka suluhu, Simba walicheka na kushangilia sana, unajiuliza shida iko wapi?

Yanga anacheza kimataifa, anawakilisha taifa pia,
Yanga ndiye bingwa wa nchi hata sasa, tena bingwa ambaye hajapoteza mchezo msimu unaenda wa pili huu,
Yanga ndiyo timu bora kuliko yeyote hapa Afrika Mashariki (na hili halina ubishi), kwanini Simba wasikubali hayo? Chuki za nini? Hata akitolewa Yanga huko Tunisia nini cha ajabu? Barcelona huyo anaenda Europa kuna ajabu gani sasa?

Simba acheni chuki, bado mnabebwa kwa kila namna. Eti mnaweza msicheze hadi Jumatano siku ambayo Yanga anaingia dimbani.

Kuna tetesi kuwa mmefikia hatua ya kutumia nguvu za giza kuidhoofisha timu ya Yanga na wachezaji wake wasipate matokeo katika michezo yake yote.

Acheni hizo, chezeni mpira, mnashindwa hata na wale Simba Queens ambao unawaona wanapigana kutafuta matokeo.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliopita kimewatesa sana wana simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii

Ubora wa Yanga hii na Simba kufungwa na Azam kumezidi kuibua chuki na hasira nyingi kwa mashabiki wa simba dhiri ya timu ya Yanga

Mifano ipo hai hata humu humu jf jukwaa la michezo someni hizo topics utaona nyingi ni simba wakiisema vibaya na kuiombea mabaya yanga!

Mechi iliyoisha Yanga alitoka suluhu simba walicheka na kushangilia sana...unajiuliza shida iko wapi?

Yanga anacheza kimataifa..anawakilisha taifa pia
Yanga ndiye bingwa wa nchi hata sasa,tena bingwa ambaye hajapoteza mchezo msimu unaenda wa pili huu...
Yanga ndiyo timu bora kuliko yeyote hapa afrika mashariki(na hili halina ubishi)
Kwanini somba wasikubali hayo?chuki za nini?hata akitolewa yanga huko Tunisia nini cha ajabu?barcelona huyoo anaenda europa kuna ajabu gani sasa?

Simba acheni chuki
Bado mnabebwa kwa kila namna,eti mnawewa msicheze hadi jumatano siku ambayo yanga anaingia dimbani.

Kuna tetesi kuwa mmefikia hatua ya kutumia nguvu za giza kuidhoofisha timu ya yanga na wachezaji wake wasipate matokeo katika michezo yake yote

Acheni hizo chezeni mpira mnashindwa hata na wale simba queens.ambao unawaona wanafight kutafuta matokeo
,

Muosha huoshwa, nyie si ndio mlikuwa mnapokea watu airport?
 
Aliye wasaidia Simba Kwa 50% kuchukua ubingwa ni Makonda, Kitendo Cha Simba kumhujumu Manji kupitia Makonda kuli idhohofisha sana Yanga nikama walikua wakipigana na bondia aliyefungwa mikono.

Kwasasa Yanga na Simba zote Zina Matajiri na mzani ukiwa hivi, Simba hawezi kubeba kikombe chochote Cha mashindano kinacho andaliwa na Tff. Hii Hali itaishi Kwa miaka mingi ijayo.
Kilicho Baki ni malalamiko tu,hawana pa kujificha na Kadri siku zinavyo kwenda Yanga wanazidi kuimarisha timu na sehemu za ufundi.
Mbumbumbu fc watapata tabu sana.
 
Redio imeongea
 
Umeshavimbiwa mihogo masikini ya Mungu dahhhhh.......ukijumlisha na huo mwiko uliokuganda hapo nyuma basi yanakutoka tu

JamiiForums451376564.jpg
 
Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliopita kimewatesa sana wana simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii

Ubora wa Yanga hii na Simba kufungwa na Azam kumezidi kuibua chuki na hasira nyingi kwa mashabiki wa simba dhiri ya timu ya Yanga

Mifano ipo hai hata humu humu jf jukwaa la michezo someni hizo topics utaona nyingi ni simba wakiisema vibaya na kuiombea mabaya yanga!

Mechi iliyoisha Yanga alitoka suluhu simba walicheka na kushangilia sana...unajiuliza shida iko wapi?

Yanga anacheza kimataifa..anawakilisha taifa pia
Yanga ndiye bingwa wa nchi hata sasa,tena bingwa ambaye hajapoteza mchezo msimu unaenda wa pili huu...
Yanga ndiyo timu bora kuliko yeyote hapa afrika mashariki(na hili halina ubishi)
Kwanini somba wasikubali hayo?chuki za nini?hata akitolewa yanga huko Tunisia nini cha ajabu?barcelona huyoo anaenda europa kuna ajabu gani sasa?

Simba acheni chuki
Bado mnabebwa kwa kila namna,eti mnawewa msicheze hadi jumatano siku ambayo yanga anaingia dimbani.

Kuna tetesi kuwa mmefikia hatua ya kutumia nguvu za giza kuidhoofisha timu ya yanga na wachezaji wake wasipate matokeo katika michezo yake yote

Acheni hizo chezeni mpira mnashindwa hata na wale simba queens.ambao unawaona wanafight kutafuta matokeo
,

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
unbeaten ya miamala ya tigopesa.
 
Yaani hayo mavimavi unasema ni bora zaidi afrika mashariki? Ukiacha mnyama ambae timu yoyote inayopangiwa kucheza nae kupatwa na kimuhemuhe itakapokuja kwa mkapa, Je vipers waliomtoa mazembe wajiite vp? Eti unawafariji matopolo wenzio! Huo mwiko namashaka nao sana.
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliopita kimewatesa sana wana simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii

Ubora wa Yanga hii na Simba kufungwa na Azam kumezidi kuibua chuki na hasira nyingi kwa mashabiki wa simba dhiri ya timu ya Yanga

Mifano ipo hai hata humu humu jf jukwaa la michezo someni hizo topics utaona nyingi ni simba wakiisema vibaya na kuiombea mabaya yanga!

Mechi iliyoisha Yanga alitoka suluhu simba walicheka na kushangilia sana...unajiuliza shida iko wapi?

Yanga anacheza kimataifa..anawakilisha taifa pia
Yanga ndiye bingwa wa nchi hata sasa,tena bingwa ambaye hajapoteza mchezo msimu unaenda wa pili huu...
Yanga ndiyo timu bora kuliko yeyote hapa afrika mashariki(na hili halina ubishi)
Kwanini somba wasikubali hayo?chuki za nini?hata akitolewa yanga huko Tunisia nini cha ajabu?barcelona huyoo anaenda europa kuna ajabu gani sasa?

Simba acheni chuki
Bado mnabebwa kwa kila namna,eti mnawewa msicheze hadi jumatano siku ambayo yanga anaingia dimbani.

Kuna tetesi kuwa mmefikia hatua ya kutumia nguvu za giza kuidhoofisha timu ya yanga na wachezaji wake wasipate matokeo katika michezo yake yote

Acheni hizo chezeni mpira mnashindwa hata na wale simba queens.ambao unawaona wanafight kutafuta matokeo
,

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliopita kimewatesa sana wana simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii

Ubora wa Yanga hii na Simba kufungwa na Azam kumezidi kuibua chuki na hasira nyingi kwa mashabiki wa simba dhiri ya timu ya Yanga

Mifano ipo hai hata humu humu jf jukwaa la michezo someni hizo topics utaona nyingi ni simba wakiisema vibaya na kuiombea mabaya yanga!

Mechi iliyoisha Yanga alitoka suluhu simba walicheka na kushangilia sana...unajiuliza shida iko wapi?

Yanga anacheza kimataifa..anawakilisha taifa pia
Yanga ndiye bingwa wa nchi hata sasa,tena bingwa ambaye hajapoteza mchezo msimu unaenda wa pili huu...
Yanga ndiyo timu bora kuliko yeyote hapa afrika mashariki(na hili halina ubishi)
Kwanini somba wasikubali hayo?chuki za nini?hata akitolewa yanga huko Tunisia nini cha ajabu?barcelona huyoo anaenda europa kuna ajabu gani sasa?

Simba acheni chuki
Bado mnabebwa kwa kila namna,eti mnawewa msicheze hadi jumatano siku ambayo yanga anaingia dimbani.

Kuna tetesi kuwa mmefikia hatua ya kutumia nguvu za giza kuidhoofisha timu ya yanga na wachezaji wake wasipate matokeo katika michezo yake yote

Acheni hizo chezeni mpira mnashindwa hata na wale simba queens.ambao unawaona wanafight kutafuta matokeo
,

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Naomba aliyeelewa anisaidie kwa tafsiri ya kawaida tu wakuu
 
JamiiForums685660863.gif
 
unbeaten ya miamala ya tigopesa.
Unbeaten haija anza Leo kikosi hiki Cha 1983 Yanga haiku poteza mechi yoyote mbaka msimu unaisha
1.Joseph Fungo
2. Yusufu Ismail Bana
3.Ahmed Amasha
4.Isihaka Hasani(chuku)
5.Athumani Juma Chama (jogoo)
6. (Le General)Juma Mkambi
7.Omari Huseni(Kigan)
8.Charles Boniface Mkwasa
9.Makumbi Juma(Homa yaJiji)
10.Abeid Mziba(Tekero)
11.Mosho Manungu
Sub
Doto ruta Mokil(freezer)
Shabani Katwila n.k
Yanga unbeaten kitambo jamani. Kikosi iki Simba walikua wakilia Kila mara.
 
Aliye wasaidia Simba Kwa 50% kuchukua ubingwa ni Makonda, Kitendo Cha Simba kumhujumu Manji kupitia Makonda kuli idhohofisha sana Yanga nikama walikua wakipigana na bondia aliyefungwa mikono.

Kwasasa Yanga na Simba zote Zina Matajiri na mzani ukiwa hivi, Simba hawezi kubeba kikombe chochote Cha mashindano kinacho andaliwa na Tff. Hii Hali itaishi Kwa miaka mingi ijayo.
Kilicho Baki ni malalamiko tu,hawana pa kujificha na Kadri siku zinavyo kwenda Yanga wanazidi kuimarisha timu na sehemu za ufundi.
Mbumbumbu fc watapata tabu sana.
Mimi navyojua watu wenye hasira kwa sasa ni Yanga, kwani wenzangu mnaonaje?
 
Back
Top Bottom