Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,196
- 1,591
Kama Simba Sc itaingia uwanjani kwa Game plan ya kujihami mwanzo mwisho simply ipo ugenini itaaibika..
Hii Game plan iliwa-cost Simba dhidi ya Constatine kule Algeria..
Ile mechi Simba sc haikustahili kufungwa..ulikuwa ni uzembe.Laiti Simba angekuwa na wazoefu wake wa zamani angeshinda.
Mambo ya kujihami kwa kukaa nyuma ya mpira yameanza kupitwa na wakati..
Njia nzuri ya kujihami ni kukaa na mpira.
Hii dhana ya heshima kwa mwenyeji kwa timu ya kawaida kama almasry ni very misleading.
Yanga alisafiri akaenda kumfunga ibenge kwake..inawezekana.
Odds inasomeka 1.66 home win.