Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 45,570
- 135,500
Halafu fourth official ni Japhet Smart! Hapo mashabiki watakuwa wanakenua tu. Maana wanakuwa na uhakika wa ushindi hata kwa kutumia kadi nyekundu kwa beki wa timu pinzani, huku ikiwa haina kosa.Refa Kepha Kayombo kibendera Tatu Malogo hapo Timu moja inakua na wachezaji 15...