Simba,Kutoka Taifa Kubwa Hadi Kuwa Chura

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
Daaa kutoka kipindi wanajiita taifa kubwa hadi sasa chura duuu mzee Mchachu anahaki ya kulia hakika...

Poleni sana lkn mm sijafurahishwa kabisa na kutokwa na machozi ya mzee kama yule aisee...

Hii ni laana ikiwa ni mapenzi tuuu...Kumtoa mwenzio machozi hiki hakikubaliki watani zangu fanyeni jitihada kuwanusu wazee kama hawa.
27afa9fe2957143b6b7a807145e1507c.jpg
 
Unapo kuwa na Mtani wako kubali yote yatakayotokea kwan hapo huwezi kumpeleka kwenye chombo chichote cha sheria
 
Sipati Picha wapenzi wa Simba wanajisikiaje baada ya kuongoza ligi karibia mwishoni wakaanza figisu figisu oh tutasusa Yanga inapendelewa viporo... oh tumeamua kuendelea kucheza... hatimae wanadaiwa na mchezaji wao wa zamani la sivyo wanashushwa daraja na fifa pamoja na kufungiwa japo kwa sasa hawana pa kwenda kucheza labda kombe la viti maalum bebi...

Njooni Azam mjipoze machungu..

Yanga nayo kiukweli kama imenunua nunua mechi ichunguzwe nayo ishushwe daraja kama zile timu za migodi
 
Kwa kweli ilikuwa kitu cha ajabu maana walikuwa kwenye kiwango wakati ule wakishinda mechi. Nilidhani wangetaka kuendelea na moto ili ije kuwapa pressure Yanga na Azam kuwafikia. Lakini sijui kwa mantiki ipi wakaona wasimame kwanza kitu kilichoharibu kiwango chao. Timu kukaa mwezi mzima bila kucheza ni hatari hasa kwa wachezaji wetu wasiozingatia weledi wa kimichezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom