Kanuni ipi hiyo?Imeanza lini?Wacha kufuata mkumbo. Nenda kasaidie wenzako kupiga magoti ili mishahara ilipwe. Wacha kukurupuka.Mnyama yupo hatarini kupokwa point kwenye mchezo wake na Ndanda baada ya kuwachezesha wachezaji wa kigeni wasio na vibali vya kufanya kazi nchini
Wanaweza kuwa na ITC na kupewa leseni na TFF lakini kibali cha kufanya kazi kinachotolewa na idara ya Uhamiaji ni kitu kingine
Tusubiri mtanange huo. Hats maelezo ya Kaburu yamejikita kwenye leseni. Bila kibali cha kufanya, leseni haitoshi
Ajira ya professional footballer ni kucheza mpira. Mambo yote ya TFF yapo subject ya kupata work permit!Hapo wana kesi za uhamiaji wala si kesi za FIFA ama TFF.Hivyo kwa kuwa wana ITC tayari hakuna sheria yoyote ya kimichezo inayowazuia kucheza.
Zulu alikuwa na ITC pamoja na leseni lakini viongozi waliona asicheze kwa kuwa work permit ilikuwa bado.Mfumo unaousema ni leseni ya kusajili haitolewi bila ya work permit. Ukishatoa leseni ni kwamba mchezaji yupo huru kucheza. Hamna kanuni itakayoweza kumzuia. Kama ipo itoe.
Hili suala sidhani kama ni la michezo, ni suala la jinai ambalo wahusika ni Idara ya Uhamiaji, ni sawa na lile suala na Ndanda Kosovo na wenzake ambao walishitakiwa na kuswekwa gerezani kwa kosa la kufanya kazi nchini bila kibali hadi wakatunga ule wimbo 'Jela ni mbaya' na kujiita Wajelajela.Mnyama yupo hatarini kupokwa point kwenye mchezo wake na Ndanda baada ya kuwachezesha wachezaji wa kigeni wasio na vibali vya kufanya kazi nchini
Wanaweza kuwa na ITC na kupewa leseni na TFF lakini kibali cha kufanya kazi kinachotolewa na idara ya Uhamiaji ni kitu kingine
Tusubiri mtanange huo. Hats maelezo ya Kaburu yamejikita kwenye leseni. Bila kibali cha kufanya, leseni haitoshi
Work permit ndio tatizo hata ulaya inatokea unasajili mchezaji unakosa work permit na hachezi unampeleka kwa mkopo sehemu anayoweza pata work permitZulu alikuwa na ITC pamoja na leseni lakini viongozi waliona asicheze kwa kuwa work permit ilikuwa bado.
Bado najiuliza swali hilo hilo. Work permit ya nini Kama mchezaji akiwa na ITC/leseni anaweza kucheza?
Itakuwa kinyume cha sheria za nchi kucheza kwa maana kufanya kazi bila kibali husika.
Mkuu, hivi unadhani nchi itairihusu TFF iruhusu wachezaji waingie uwanjani bila kufuata sheria za nchi ?Hili suala sidhani kama ni la michezo, ni suala la jinai ambalo wahusika ni Idara ya Uhamiaji, ni sawa na lile suala na Ndanda Kosovo na wenzake ambao walishitakiwa na kuswekwa gerezani kwa kosa la kufanya kazi nchini bila kibali hadi wakatunga ule wimbo 'Jela ni mbaya' na kujiita Wajelajela.
Kwenye soka, muhimu no ITC tu, na ndio maana wamepewa leseni na TFF baada ya kuridhika kuwa wamehamishwa kihalali kutoka timu zao walizochezea msimu uliopita,TFF hawahitaji kibali cha kufanua kazi nchi ili watoe leseni, hilo ni suala la sheria za nchi. Ni mtazamo Wangi tu.
Vv
Mkuu, kama TFF wameweka hiyo kanuni ni sawa lkn usishangae ukikuta hiyo kanuni haipo maana hilo linahusika moja kwa moja na sheria za nchi.Mkuu, hivi unadhani nchi itairihusu TFF iruhusu wachezaji waingie uwanjani bila kufuata sheria za nchi ?
Ni wajibu was kila taasisi kuhakikisha wageni walioko chini yake wanatekeleza sheria za nchi! Kwa maana hiyo, lazima TFF wawe na kanuni za kizibana club kuhusu work permit kabla ya kuingia uwanjani
Ndiyo maana makocha hawakai benchi hadi wapate kibali cha kufanyakazi Tanzania.
Kabla ya Hapo wanakuwa na visa ya kitalii tu!
Kuna watu hawataki kukubali ukweli huo. Hay yamempata Farid was Azam kuichezea Tenerrife ya Spain!Work permit ndio tatizo hata ulaya inatokea unasajili mchezaji unakosa work permit na hachezi unampeleka kwa mkopo sehemu anayoweza pata work permit
Mnyama yupo hatarini kupokwa point kwenye mchezo wake na Ndanda baada ya kuwachezesha wachezaji wa kigeni wasio na vibali vya kufanya kazi nchini
Wanaweza kuwa na ITC na kupewa leseni na TFF lakini kibali cha kufanya kazi kinachotolewa na idara ya Uhamiaji ni kitu kingine
Tusubiri mtanange huo. Hats maelezo ya Kaburu yamejikita kwenye leseni. Bila kibali cha kufanya, leseni haitoshi
Acha mambo ya matamko weka sheria ya TFF tuone hicho kifungu.Ajira ya professional footballer ni kucheza mpira. Mambo yote ya TFF yapo subject ya kupata work permit!
TFF walisema hayo juzi kabla ya mechi za weekend. Ndiyo maana Zulu aliondolewa mechi ya Yanga.
Kama leseni ya TFF inatosha nani angetafuta work permit?
Tukubali wakubwa wameteleza