DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
- Thread starter
- #61
Duh Kibu Mkandaji anaongoza mpaka sasa, ama kweli nyota yake inazidi kung'aa. Zimebaki kura 6 tufunge zoezi.
Hapo hakuna anaefaa kuwa Captain.Tumefunga zoezi la kupiga kura na walioongoza ni:
Denis Kibu
Clatous Chama
Henock Inonga
Tusubiri tuone captain mpya atakuwa nani. Asanteni kwa kushiriki.