GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,059
- 126,650
Katika upigaji wa Penati hata Timu ya Wendawazimu na Wapumbavu inaweza Kushinda kwani Kikubwa ni Bahati na Wengine bahati hiyo hiyo huwa hawana Ndani hadi Kuwakimbia pia Wababe wao wa Kudumu kwa sababu za Kitoto na Kipuuzi.Unajikosha hapa kwa aibu.....tunatunza hii post...mshenzyyy weye....