walionunua jezi za kiyovu imekula kwao lol
Nawatakia mabaya simba. Siipendi kwa dhati toka moyoni.Wafungwe
My best wishes to Kiyovu!
Mkuu hata kama hupendi mvua lakini uwezo wa kuzuia huna inabidi uwe mpole tu ikunyeshee, kama vipi uingie ndani usubiri ikatike utoke ukanyage matope.Nawatakia mabaya simba. Siipendi kwa dhati toka moyoni.Wafungwe
Watakuwa wamezificha chini ya viti now,ila leo sijaona huo wehu wa kukosa uzalendo.
pole sana imeshakula kwako hivyoNawatakia mabaya simba. Siipendi kwa dhati toka moyoni.Wafungwe